lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu amani – neshry trapan

Loading...

(chorus x2)

nikipiga drill hamtakuwa na amani
me hukata mawaba konyagi
alafu me huchase na maji dasani
kila siku me huchill mtaani
form itokee bas mimi ni nani
ati nakaa mtu flani
me ndo the best na me situkani

{verse }

me huchenga ka lingard
nafunga mabao hio ni mimba
kisha na kula marappers for dinner
sipendi mabeamer audi boy na ni kila aina
me huwa sifight juu sipendi fitina
usifanye mistake ukose heshima
ama utapata dem wako nalima
bro amejam
ndio maana me hukuwa kwa booth
nikitoka kwa booth ni boko haram
chorea waganis
ufwegede staki
nadai collabo na natty
feature iweze tubambe umati
marapper mko lucky
only few real gs wamebaki

(chorus x3)

alikosa kufika bei
kisha akapigia bae
mblainer hananga say
on thе real im here to stay
onе year they fade away
unadai beef okay okay
akuna amani
machumes ndo me na tamani
vile anagawa leta sahani
kwa hii game akunanga samahani
kesi baadae akuna laani
nimekam bila ilani
neshry trapan uyo ni nani

(chorus x3)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...