lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu night school – nyashinski

Loading...

[verse]
yeah
wako night school, wananistudy show nikipiga
come through kuna maombitho time ikifika
nikulight tu na kama iko mtu anauliza niko hi too
kaa mnairobi akisalimika
kuongeza feelings kwa plan yu fanya akili inajam
naingia venue na van, natoka venue na bag
daily nacount blessings, hauwezi jua day yenye tables huturn
na rap na hunger ya upcoming
ata kaa hapa ni me ndo nakaa mdhamini
nani kaa mimi?
chrous mambo mbaya, maverse mambo mbaya
na bars na go harder, than drugs
i am larger than life family
wanaota vitu nishafanya twice
au nilishapata chance ni vile nili*n*lyse value nikachorea
kitu haangalii mr. your favorite wants a picture with shin da vinci
siri nimeeka mingi, kwa hii shin city
tunaspeak in code lakini tunaelewana
unajua me si wa kujaribiwa
niheshimu utaheshimiwa haribu utaharibiwa
mjinga ndo upandisiwa
finger ni ya kati kati kwa wale wanapinga
najibanza chini ya maji nikipanga mikakati
t*shirt ni versace
reverse hatuеndagi
me saa nakula ka musician na si ju ya illuminati
na si kukam kudilly dally ju kusota yu ni p*ss off
ka inanice, raundi hii sichagui na price
chеki vile natupa madice kwa hii casino inaitwa life
ulisema siezi rudi si unafaa uapologise
i did it once, did it twice hio sitaacha uminimise
na shift culture kila saa na move (shin city)
usiogope, au sio
already juu ukona mimi
hapa future ishaimprove (shin city)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...