lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu utanisho – octopizzo

Loading...

[verse 1]
naskia bado kuna marapper wamestick kwa cypher
zangu nikutoa soundtrack za sci-fi
waresh wenyu nimewageuza free wi-fi in short nalog in bila kutumia p-ssword
mi ni ule boy anakutukana bila kutumia curse word
pesa otas n-gg-, naenda nazo choo ka nimekazwa
still sick nipate booth, ka nimelazwa
ati ulidanganya unajulikana majuu, hao walikuwa wasee wa naswa
bila beat n-gg-, kujeni na pinye bado nitawabeat n-gg-
hii ni hit n-gg-
mr. lighter flames, i’m lit n-gg-
stop feeling some typa way, hommie kwani hujui mi ni rich n-gg-
na mresh wako ameshinda akiniflash, you wanna know why, coz i’m the sh-t n-gg-

[hook]
utanishow what? utanisho?
utanishow what? utanisho?
utanishow what? utanisho?
utanishow what? utanisho?
[verse 2]
i’m going in ni ka kuna curfew, apart from me mi huskiza marapper ka few
hii si sportpesa huwezi bet
na ambia siz yako hata akikunya calendar siwezi m-date
na-stand out buda ka watchman, in short vitu niko nazo huwezi get
hold up! najua hiyo line hujai-get
sijawahi chelewa sijawahi come late
nimetoka vacay ndio nime jet in
hakuna vacancy siwezi ku-let in
niko kwa pharmacy, zangu ma-peddling
so sad hata akina pendo sikuhizi hawakupendi
so zidi kukula moto ka acrobat
unapunguza weight kwani uliacha kutumia [?]
bonga na mi, chonga na king
songa na mi, kamisha bling, pizzo kwa ring

[hook]
utanishow what?
utanisho?
utanishow what?
utanishow nini bana?
utanishow what?
utanishow what?

[bridge]
utanishow nini bana x3
na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za: no octopizzo no peace
ni hii sheng ndio ilinibuy-ia shamba, ni hii sheng
ni hii sheng ndio ilinibuy-ia nyumba ni hii sheng
ni hii sheng nilipata w-ngoso na hii sheng
ni hii sheng nilipandaga ndege na hii sheng
ni hii sheng nilihamaga ghetto na hii sheng
ni hii sheng nilibuy-ingi gari na hii sheng

[hook]
(utanishow nini bana) x3
na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za: no octopizzo , no peace
(utanishow nini bana) x3
na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za: no octopizzo, no peace
(nilikushow we ni fala) x3
juu kila ngoma unatoa maze siku hizi inakuw-nga tu ni diss
(nilikushow mi ni hustler) x3
ilianza na ka-cd siku hizi si hu-spin mercedes

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...