lirik lagu valentine day – omary kopa
ahaaaaaahhaaa
ohoohhoooooohhhh
hebu toka hadharanii
mpenzi nikupe hai
habibi nuril lain
kukukera haitokei
hebu toka hadharanii
mpenzi nikupe hai
habibi nuril lain
kukukera haitokei
kwani umenipa nini ?
mpaka nikawa hoi
wengine mimi wa nini
penzi kwako na enjoy
kwani umenipa nini ?
mpaka nikawa hoi
wengine mimi wa nini
penzi kwako na enjoy
mtoto wa visiwani
mzurii aaaah najidai
nikupe zawadi ganii?
leo velentine day
mtoto wa visiwani
mzurii aaaah najidai
nikupe zawadi ganii?
leo velentine day
ahaaaaaaaaaaahhh
anaheshima jamani
sikahba halisogei
tukikutana mwandani
huniamkia chechei
anaheshima jamani
sikahba halisogei
tukikutana mwandani
huniamkia chechei
anachovaa mwilini
huwa hakimkatai
macho yake malaini
wala kungu hatumii
anachovaa mwilini
huwa hakimkatai
macho yake malaini
wala kungu hatumii
ni kamaa nurl laini
peponi wanaojidai
anafanana na nani
yoyote hamuuingii
ni kamaa nurl laini
peponi wanaojidai
anafanana na nani
yoyote hamuuingii
ahaaaaaaaaaaahhh
oohhooohhhhhhh
mmeshasema zamanii
mbona hamuendeleei
na matusi ya nguonii
mlitutukana wallah
mmeshasema zamanii
mbona hamuendeleei
na matusi ya nguonii
mlimtukana wallah
uyo mwanaamke ganii
kupendwaa yeye hafaii
mie namuoona queen
mrembo aloo kinai
uyo mwanaamke ganii
kupendwaa yeye hafaii
mie namuoona queen
mrembo aloo kinaiii
akiingia mapishinii
mimi chaa akiepuii
hunipa ndizi mainii
natoezea na chaii
akiingia mapishinii
mimi chaa akiepuii
hunipa ndizi mainii
natoezea na chaii
hunipa ndizi mainii
natoezea na chaii
anfanana na nani
yoyote hamuuingii
nikupe zawadi gani
leo valentinee day
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu catey shaw › lirik lagu instagram – catey shaw
- kumpulan lirik lagu kneejerk › lirik lagu everything starts to melt – kneejerk
- kumpulan lirik lagu nco › lirik lagu the cycle – nco
- kumpulan lirik lagu yngwie malmsteen › lirik lagu valley of kings – yngwie malmsteen
- kumpulan lirik lagu tony mike › lirik lagu paradise – tony mike
- kumpulan lirik lagu zibba › lirik lagu quando stiamo bene – zibba
- kumpulan lirik lagu violet cold › lirik lagu anomie – violet cold
- kumpulan lirik lagu ronald el killa › lirik lagu gatita loca (remix) – ronald el killa
- kumpulan lirik lagu daz dillinger › lirik lagu that’s what she do – daz dillinger
- kumpulan lirik lagu jonathan christenson › lirik lagu we are your nightmares – jonathan christenson