lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nibaki na wewe – omg tanzania

Loading...

[verse 1] – young lunya
baby una bonge la shape, sura pia
bonge la upaja na guu la bia
mtaani, mtaani wanakunyatia
eti nnapokula mi wanataka kula pia, mmh!
sema mwingine i don’t see
haters wanabaki like omg (omg)
wanafki nao oh hooh
hawawashi.. pilipili hoho
baby la kichaga, shimboni
baby we ni maji, shingoni
baby we ni mwisho, ukingoni
baby una utundu wa kingoni
na pozi za kisister du
chini nikila airmax we ni viatu vya juu
tumetoka mbali hawajui
tumetoka mbali, m-rap, hawajui

[chorus] – young lunya
oh baby it’s you, unanifanya nifurahi
kila saa natabasamu
oh baby it’s true, unaponiangalia
unaniteka tena sana
so nkaona bora nibaki na wewe
(bora nibaki na wewe) – x 3

[verse] – salmin swaggz & young lunya
mara ya kwanza namuona alikua anatoka cl-ss
ili ajue sinywi pombe nikaficha gl-ss
daftari likanihusu.. maana ana cl-ss
so, akaniruhusu mi nikampa trust
no negativity tukaenda dhibiti
maneno ya marafiki tukayafunga kama vizingiti
told her about the games that i don’t play, (don’t play)
kabla sijasema she know what i’m gon’ say, (gon’ say)
you know my family, you know my whole spirit
nishatembea na madem wana hoe spirit, (hoe spirit baby)
nawapa wanachezea but they don’t steal it
it’s coming from my heart so i know you feel it
[hook] – young lunya
we… na wewe
utakapoishi we
nataka niishi na wewe

[chorus] – young lunya
oh baby it’s you, unanifanya nifurahi
kila saa natabasamu
oh baby it’s true, unaponiangalia
unaniteka tena sana
so nkaona bora nibaki na wewe
(bora nibaki na wewe) – x 3

[bridge] – conboi
tumetoka mbali, tunakwenda mbali nataka ufike na mimi girl
twende nyumbani ukawaone wazazi, yeah
nampenda mpenda she knows that (she know dat)
sintomtenda she knows that (she know dat)
nampenda mpenda she knows…
sintomtenda, mi nampenda

[verse] – country boy
ipite siku sijakuona moyo utanidunda
kwa uzuri ulio nao sijui kama utachunda
mungu akupe nini, we zaidi ya dini
mi mshamba wa mapenzi ukicheche za watoto wa mjini, haah
nataka siku uniite husby, haah
tuzae watoto waniite daddy
sitoi boko mechi zote mi ni shuti ndani
unanidatisha unaposema “i’m coming…”

[outro] – young lunya
bora nibaki na wewe x4
mama we, bora nibaki na wewe
wengine wananichanganya changanya nkaona bora wewe

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...