lirik lagu amor – otile brown
ooh yeah, baby
this one for the true lovers
just in love music
hey naumia moyo
baby…yeah mmh
ningekuwa mng’ata hii dunia
ooh mi amor
ila ndo nisije jaliwa
sina la ku offer
zaidi ya mapenzi ya dhati
hali yako naielewa
wala usijali, nimekubali ilivyo
kwako nimelowa
nilidhani nitaelea nikajihisi mia, ooh
my cherie
hata na pasi nasa nayo ooh baby
my hunnie
hata balobi natika yoh jameni
my cherie
hata na pasi nasa nayo ooh baby
my hunnie
hata balobi natika yoh jameni
kwenye shida na raha, aah-aah
kwa k-mbato lako ni sawa, sawa
kwa maradhi sihitaji dawa, dawa
kwa busu lako baba ni sawa, sawa
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hatuna king-size bed ila twalala(twalala)
haila za burger, ila twala(twala)
umeridhia moyo
kwa penzi lako la dhamani
hatuna king-size bed ila twalala(twalala)
burger, ila twala(twala)
umeridhia moyo
kwa penzi lako la dhamani
hali yako naielewa
wala usijali nimekubali ilivyo
kwako nimelowa
nilidhani nitaelea nikajihisi mia
my cherie
hata na pasi nasa nayo ooh baby
my hunnie
hata balobi natika yoh jameni
my cherie
hata na pasi nasa nayo ooh baby
my hunnie
hata balobi natika yoh jameni
kwenye shida na raha, aah-aah
kwa k-mbato lako ni sawa, sawa
kwa maradhi sihitaji dawa, dawa
kwa busu lako baba ni sawa, sawa
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu a wake in providence › lirik lagu a cataclysmic eternal – a wake in providence
- kumpulan lirik lagu 67 ld dimzy monkey asap liquez › lirik lagu she wants – 67 – ld, dimzy, monkey, asap, liquez
- kumpulan lirik lagu dir en grey › lirik lagu 蟲 (mushi) – dir en grey
- kumpulan lirik lagu mat musto › lirik lagu sexy girls – mat musto
- kumpulan lirik lagu shadow030 › lirik lagu bad boy – shadow030
- kumpulan lirik lagu d i france › lirik lagu ansioso – d.i (france)
- kumpulan lirik lagu natos y waor › lirik lagu maquiavelo – natos y waor
- kumpulan lirik lagu the strumbellas › lirik lagu high – the strumbellas
- kumpulan lirik lagu elle milano › lirik lagu ooo beyoncé baby – elle milano
- kumpulan lirik lagu little triste x white silas › lirik lagu iron maiden – little triste x white silas