lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu baby love – otile brown

Loading...

dhamani yako
uzuri wako
naujua mwenyewe
sikuachi pengine uniache wewe
raha ili mradi unanipenda
peke yetu tutaishi kwenye dunia
sikuachi
pengine uniache wewe
we ni jiko
wewe jiko langu mama
mboni ya macho yangu
nitakulinda mpenzi w*ngu
we ni jiko
wewe jiko langu mama
mboni ya macho yangu
nitakulinda mpenzi w*ngu
achana nao (nao)
achana nao (nao)
uuuuh achana nao
hao wenye roho mbaya
wanatusema vibaya
baby love
wewe w*ngu mimi wako wa moyo
oooh baby love
usije niacha kwa fitina
na maneno yao
baby love wewe w*ngu mimi
wako wa moyo
oooh baby love
usije niacha kwa fitina
na maneno yao
huna habari jinsi gani moyo
w*ngu unaupеndeza
wene ndio furaha yangu
wеwe ndo wa maini yangu
wewe ni jiko
jiko langu mama
mboni ya machoa yangu
nitakulinda mpenzi w*ngu
wewe ni jiko
jiko langu mama
mboni ya machoa yangu
nitakulinda mpenzi w*ngu
achana nao (nao)
achana nao (nao)
uuuh achana nao
hao wenye roho mbaya
wanatusema vibaya
achana nao (nao)
achana nao (nao)
uuuh achana nao
hao wenye roho mbaya
wanatusema vibaya
baby love
wewe w*ngu
mimi wako wa moyo
oohh baby love usije niacha
kwa fitina na maneno yao
baby love
wewe w*ngu
mimi wako wa moyo
oh baby love usije niacha
kwafitina na manero yao
baby love
wewe w*ngu
mimi wako wa moyo
oh baby love usije niacha kwafitina
na manero yao
baby love
wewe w*ngu
mimi wako wa moyo
oh baby love usije niacha kwafitina
na manero yao
jiko jiko langu mama
mboni ya macho yangu
nitalinda mpezi w*ngu

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...