lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nabayet – otile brown

Loading...

otile brown

nimejaliwa moyo wa upendo
nikipenda napendaga vibaya
ila scandal zimefanya sija settle
madem wananihuk*mu vibaya

nishabadili ata mienendo
wanadai nimefulia ile mbaya
mana sifanyi kiki tena na scandal
sina hamu nazo kisa wewe mama

wananiita play boy (heart breaker)
baada ya kitendo (na sepa)
yani hawaniamini ata kama nawatania

wananiita play boy (heart breaker)
baada ya kitendo (na sepa)
yani hawaniamini ata kama nawatania

baby mi sio mtu wa mchezo mchezo
(nabayet,nabayet, nabayet)
sema niku oe ata leo
(nabayet,nabayet, nabayet)

nabi, nabi, nabi we, nabi, nabayet
nabi, nabi, nabi we, nabi, nabayet

aseme anahisi joto nimpepee ila anachukulia poa tu
nioshe viombo nimkande ila juhudi zangu bute tu
namtendekeza kama mtoto ata chakula kwa mkono ashiki
kama mashine nampa tango mana hanaga bwawa la maji

wananiita play boy (heart breaker)
baada ya kitendo (na sepa)
yani hawaniamini ata kama nawatania

wananiita play boy (heart breaker)
baada ya kitendo (na sepa)
yani hawaniamini ata kama nawatania

baby mi sio mtu wa mchezo mchezo
(nabayet,nabayet, nabayet)
sema niku oe ata leo
(nabayet,nabayet, nabayet)

nabi, nabi, nabi we, nabi, nabayet
nabi, nabi, nabi we, nabi, nabayet

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...