lirik lagu nang’atuka – prof. jay
Loading...
yeah
napiga goti natubu
kwa mungu w*ngu na jamii
nimefanya mambo mengi
kwa kutumia cheo
naamini cheo dhamana
nisamehe nisamehe
nang’atuka nimeshaikosea jamii nikajiita mungu mtu nikajiita nabii
mwenyeenzi k*mbuka na nafsi hii
napiga goti natubu daima nitakusihi
nang’atuka nimeshaikosea jamii
nikajiita mungu mtu nikajiita nabii
muda sasa umewadia ndugu zangu watanzania
mambo niliyoyafanya hayapaswi kusimuliwa
tangu nilipoomba kura kwenye ndio mzee
mkanipa na kusababsha uchumi ulegee
kura zikawa kula nikaishi kwa mlungula taratubu nikaanza kubadili mfumo na sura
nasisitiza sana masuala ya ajira
k*mbe uongo nikaanza kugawa vyeo kwa hila
hata mashori w*ngu niliweka mataahira na kusababsha uongozi w*ngu upoteze dira
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu benja valencia kidd voodoo › lirik lagu a mí ˂/3 – benja valencia & kidd voodoo
- kumpulan lirik lagu ambjaay › lirik lagu ok ok ok – ambjaay
- kumpulan lirik lagu jador heydon terbar manele mentolate › lirik lagu fana (remix) – jador, heydon terbar & manele mentolate
- kumpulan lirik lagu g unit › lirik lagu rap city freestyle – g-unit
- kumpulan lirik lagu christian › lirik lagu notte serena – christian
- kumpulan lirik lagu 8ruki › lirik lagu dans la ville!! – 8ruki
- kumpulan lirik lagu abbas bagirov › lirik lagu de görüm neyləmişəm? – abbas bağırov
- kumpulan lirik lagu alkinoos ioannidis › lirik lagu η μέρα που θα ‘ρθει (i mera pou tha ‘rthei) – alkinoos ioannidis
- kumpulan lirik lagu bravo the bagchaser › lirik lagu young legend – bravo the bagchaser
- kumpulan lirik lagu the donut man usa › lirik lagu i will arise and go forth – the donut man (usa)