lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ndivyo sivyo – prof. jay

Loading...

unavyodhani ndivyo sivyo
maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
naongeza msistizo tena usimsahau
mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
w*ngapi walikua nazo ona sasa hawana tena
wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
eh! tusaidiane kwenya raha na shida
usimdharau mwenye nja kwakua we umeshiba
maisha safari ndefu sio eleweka
leo uko hapa unalia mwenzako kule anacheka
usimutuze tu mwenye nyumba na gari
k*mbuka umaskini na utajiri zote hadhi
unavyodhani ndivo sivyo sivyo ndivyo
dunia hivyo ndilivio kuna rah na matatizo
kama leo umepewa basi mushukuru mumba
kama umekosa ongeza bidi na sio ndumba
mwenzio akiwa ana thama murushie kamba
sikia kilio cha watu wazima bongo mpaka uganda!
unavyodhani ndivyo sivyo
maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
naongeza msistizo tena usimsahau
mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
w*ngapi walikua nazo ona sasa hawana tena
wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
walioitwa maskini leo wamezipata imеkua ndivyo sivyo
(ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
never under еstimate
and learn to appreciate
no matter situation, persevere and tolerate
don’t get hooked by the bait
life is life, no matter what the time and date
take a little more time, sit and concentrate
it’s j. chameleone, professor in a new duet!
unavyodhani ndivyo sivyo
maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
naongeza msistizo tena usimsahau
mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
w*ngapi walikua nazo ona sasa hawana tena
wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
unaedhani ana afya k*mbe ndio ana ngoma
usimini kila kitu ambacho macho yaona
w*ngapi wana magari na k*mbe yote ya mkopo
benki ikiwadai wanarudi kwenye msoto
usi ishi kwenye ndoto, maisha upange wewe
anapanga ama nani muombe ili upewe
usimdharau mtu kwa kua yeye yuko simple
k*mbe akili yake ina nguvu zaidi ya kingkong
mama yoooo!
munno bwolaba talina muwe plani
tomukuba mgongo omulanga bisiraani
oyo gwonyoma nti talina plani
ebyensi bikyuka mungu yayina mizani
tonyoma njala gweluma talina musango
toduulira mwavu tomukuba mugongo
ani yali amanyi nti ndikuba ebidongo
maisha kama kamari bora itumie ubongo
unavyodhani ndivyo sivyo
maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
naongeza msistizo tena usimsahau
mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
w*ngapi walikua nazo ona sasa hawana tena
wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
unavyodhani ndivyo sivyo
maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
naongeza msistizo tena usimsahau
mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
w*ngapi walikua nazo ona sasa hawana tena
wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(ndivyo sivyo sivyo ndiyo)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...