lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu vunja mifupa – prof. jay

Loading...

heres another one
ladies and gentlemen give it up for professor jay
nipo sana, leo juzi na jana
wanoakwambia we mkali wanakudanganya
sikiliza hizi mambo mambo vile watu hunafanya
ni ngumu ngumu k*meza watu wote jicho nyanya
nawakusanya na nafanya nachofanya
t touch piga gita mithili ya santana
mtaa unaongea so pam pam tuvute
free ka mandela so dance time turuke
bit inawasha utadhani ina pili pili
watu wanaamsha utadhani makili kili
salamu kwao salamu kwao mtaa wa pili
ukishindwa tingisha kichwa tingisha kiwili wili
shida zimeumbwa kwetu kwanini zitutese
komaa nazo zikikushinda njoo tukeshe
be happy wanangu vunja mifupa
haina kufail na kesho tunaanza upya
vunja mifupa (vunja)
vunja mifupa (fupa)
vunja mifupa (vunja)
kama meno ipo
vunja mifupa (vunja)
vunja mifupa (fupa)
vunja mifupa (vunja)
kama meno ipo
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa
kama meno ipo
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa
kama meno ipo
sometimes nakula bata utadhani naprint hela
sometimes issuеs za utata michongo kwenye besеla
kama unawezafata ubebwe kwenye machela
hapa umeliwa umekula ndo zetu kisela sela
carrier yangu ya muda mrefu
zaidi ya umri wa young d
siishi kwa kuuza sura kwa kuwa nina plan b
kwenye mapenzi ya dhati
chongo naliona kengeza
hesabu ulicho nacho sahau ulichopoteza
wanakupaka pilipili we unawapaka wanja
watu washakufanya dili fikiri kabla ya kuanza
no doubt my style is here for real izi ndo stanza
mi sio wa makilikili nampa dili dogo janja
maisha nchecheme nchecheme
niache niseme
kama umeshalikoroga limeze
ama liteme
ukintupia uchawi ngoma ngumu kama msondo
na chuma ukijidai nakuchapa kwenye konde
vunja mifupa (vunja)
vunja mifupa (fupa)
vunja mifupa (vunja)
kama meno ipo
vunja mifupa (vunja)
vunja mifupa (fupa)
vunja mifupa
kama meno ipo
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa
kama meno ipo
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa
kama meno ipo
kama meno ipo
kama meno ipo
vunja mifupa (vunja)
vunja mifupa (fupa)
vunja mifupa (vunja)
kama meno ipo
vunja mifupa (vunja)
vunja mifupa (fupa)
vunja mifupa
kama meno ipo
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa
kama meno ipo
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa (iye)
vunja mifupa

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...