lirik lagu yatapita – prof. jay
uhmmmm ay! oooh yeah mhhhhh
[harmonize]
ipo siku na muda eeh
silali bado na asooo
kama ipo itakuyja eeeh
yahalali nile kwa jasho
ipo siku na muda eeeh
silali bado na asooo
naamini ipo itakuja eeeh
ni halali nile kwa jasho
kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata)
mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee( yata )
bado tunajikongoja (yatapita yata )
usijehisi umelogwa (yatapita )wowouwoooo (yata)
[professor jay]
nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitaweza
nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza
mara ya tatu marafiki wakanizebeza
mara ya nne hata kabla yakuanza nikateleza
mara ya tano nikafeli wakanibeza
wengi wakanambia siwezi faulu bila ya fedha
mara ya sita nikasita nikaska sauti ikiniita
kwamba maisha ni vita jay unaweza
mara ya saba mambo yalijiongeza
kila nnapoanguka nainuka najisogeza
nnapopata kidogo nakiwekeza
maisha chuo kikuu wapaswa kujiendeleza
mara ya nane im the man all the way up
king ndani ya jungle always keep my head up
usikate tama ( ongeza juudi tu pambana)
sitting on the top of the world kama unaweza
[harmonize]
ipo siku na muda eeh
silali bado na asooo
kama ipo itakuyja eeeh
yahalali nile kwa jasho
ipo siku na muda eeeh
silali bado na asooo
naamini ipo itakuja eeeh
ni halali nile kwa jasho
kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata)
mlo kutwa mara moja (yatapita) еyeyeiyeee( yata )
bado tunajikongoja (yatapita yata )
usijehisi umеlogwa (yatapita )wowouwoooo (yata)
[professor jay]
anhaa
najua unapata tabu sana wanakutukana
ifikilie kesho yako achana na jana
najua ata ndugu wa damu wanakukukana
haya maisha ni vita yapasa kuyapigana
uj*pokea mshahala jikaze bhana usilie
onzena sana kazi na sara mama ntilie
maisha ni mapambano halisi sio nguvu ya soda
usisubili ugeuzwe tu ndo ukabede poda
nikopamoja nanyi wanangu wa bodaboda
dua zangu ziko nanyi mama zangu wa mbogamboga
mnapitia mengi ila mambohayaendi
i can, i must , i will kama mengi
fundi gereji piga kazi kwa bidii ukiweza kesha
unaweza kua manji modewji ama bahkresa
usikate tamaa ongeza juudi tu pambana
sitting on the top of the world kama unaweza
[harmonize]
ipo siku na muda eeeh ..(sikuu)
silali bado na asooo (ebwana salalii)
kama ipo itakuja eeeh
ni halali nile kwa jasho..( kwa jashooo…)
ipo siku na mda eeeh
silali bado na asooo (asooo mbona silali)
kama ipo itakuja eeeh .. (eeee)
nihalali nile kwa jusho
kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata)
mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee( yata )
bado tunajikongoja (yatapita yata )
usijehisi umelogwa (yatapita )wowouwoooo (yata)
you know, no one is born to be successful
no one is born to be a star
hakuna kinachoshindikana
believe in yourself, believe in yourself , believe in yourself
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu digex › lirik lagu fall in love – digex
- kumpulan lirik lagu княzz knyazz › lirik lagu голос тёмной долины (voice of a dark valley) – княzz (knyazz)
- kumpulan lirik lagu stephen star › lirik lagu spectator – stephen star
- kumpulan lirik lagu engelbert humperdinck › lirik lagu my friend the wind – engelbert humperdinck
- kumpulan lirik lagu white punk › lirik lagu не верю* (do not believe) – white punk
- kumpulan lirik lagu yung joe › lirik lagu who i am – yung jo$e
- kumpulan lirik lagu ndni › lirik lagu wired different – ndni
- kumpulan lirik lagu ornen › lirik lagu bakis – örnen
- kumpulan lirik lagu babi blackbull c terrible › lirik lagu check it – babi blackbull & c. terrible
- kumpulan lirik lagu guapo da kid presco lucci › lirik lagu стремная бэй (ugly bae) – guapo da kid & presco lucci