najielezea (acoustic) - rama dee lyrics
[intro]
we*we, we, ndio my passion, dada
we*we, we, ndio my sweet, my lover
we*we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
[?]
[verse 1]
mi sikatai mapenzi yangu yapo kwako hiyo ni sawa
na nnachokupa baada ya muda, mbona chaota mbawa?
you know i’m in love, ‘nafika, mi kwako sina mbawa
madhaifu yako nabeba, si uchafu, siwezi nawa
[pre*chorus]
venye unataka, ‘it’s okay
as long as my heart is open
tusirudi nyuma, tusonge
i’mma ‘drunk in love, in your love, yeah
[bridge]
we*we, we, ndio my passion, dada
we*we, we, ndio my sweet, my lover
we*we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
oh, nai
[chorus]
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
(sana kwako)
[verse 2]
mambo mengine ni wazi
don’t hide things
najielezea sana, yes i see
kwa mapendo, nakupenda ‘yes, that’s real
ooh, ooh
you’re my sweet potato, wala sihisi mateso
sio hii leo wala kesho
(hii leo wala kesho)
[pre*chorus]
venye unataka, ‘it’s okay
as long as my heart is open
tusirudi nyuma, tusonge
i’mma ‘drunk in love, in your love, yeah
[bridge]
we*we, we, ndio my passion, dada
we*we, we, ndio my sweet, my lover
we*we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
oh, nai
[chorus]
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
(sana kwako)
[outro]
we*we, we, ndio my passion, dada
we*we, we, ndio my sweet, my lover
we*we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
Random Song Lyrics :
- drumandbass vs rap #2 - saint & skilbet lyrics
- lost - zerissen session - bruckner lyrics
- banana joe - doctor colossus lyrics
- air - loucked lyrics
- lovin’ tonight - jack rutstein lyrics
- calico - chaddanooga lyrics
- wat u kno abt that - lil yawh lyrics
- twilight - mandyspie lyrics
- beautiful (live from central park, new york city, may 26, 1973) - carole king lyrics
- le temps fera les choses (alternative version) - angèle lyrics