lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wanangu – rapcha ft mapanch bmb

Loading...

nina love na wanangu wote

n*ggaz i can die for

hard times good times tupo wote

ibaki hivyo

verse 1. rapcha

nina love na wanangu wote

n*ggaz i can die for

hard time good times tupo wote

hao ndo nashiba nao

hao ndo nashinda nao njaa

hao ndio nnaokula nao raha

hao ndio napambana nao kwenye mabalaa

tumeanza from nothing to something tokea mtaa
walipo mi nipo

na huwezi kuwa*diss ka mi nipo

afu lifestyle yetu easy kama kawa

nna*roll na wanangu err*day sina chawa (yeh)

bridge : mapanch bmb

popote nnapokua na marafiki upendo unaonekana

usilete pigo zako za unafiki eeeeh eehh

chorus: rapcha

sema nao wana

wenye love na mie (wana)

watoto kali na ma*gangsta

mtaani nina wana

wenye love na mie (wana)
watoto wakali na ma*gangsta

verse 2. rapcha

wanao gucci gang afu mi msela

wanapenda slope eh!? waambie kuna jela

wao wakiona tuna*flex huwa inawakera

ndo maana hatu*mix nao coz we ain’t jealous

washakuwepo wana waliojaa cheko nlipokuepo
nlipotoka wakaniua (aaaf nawajua)

hapa nlipo sio mchezo jua

uliza kiatu, kwanza bei yake unaijua!?

verse3. mapanch

no shobo, mikausho mob

mi na marafiki zangu no shobo
no shobo mikausho mob

mi na marafiki zangu no shobo

kaa mbali pande za wanangu ni hatari (yeah)

hatutegemei zali, puff puff moshi kwenye dari (yeah)

bridge

popote nnapokua na marafiki upendo unaonekana

usilete pigo zako za unafiki eeeeh

chorus

sema nao wana

wenye love na mie (wana)

watoto kali na magangster

mtaani nina wana

wenye love na mie (wana)

watoto wakali na ma gangster

produced by baddest beats

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...