lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu it’s okay – rapcha

Loading...

[verse 1]

nlipokucheck kwa phone
hata nikuone simu ulikua huzioni

trying to reach you ila unanikimbia nkaanza kudata alone

father anasema son unaisha mwili na nuru inashuka usoni

najiinamia navuta another joint nahisi niko ndotoni

i’ll be okay

ishapita i’ll be okay

muda utapita and i’ll be okay

nshapata remedy i feel okay

karma inakuja inabidi upay

moyo ulitaka tu ukutetee

wewe ukataka tu uniongopee

j*po nlitaka sana tuendelee
basi nipotezee

[bridge]

umeniblock ili nsione unachopost.. that’s okay

umeniintroduce kwa wana as a friend.. that’s okay

everyday uko busy, sikuulizi.. that’s okay

na chochote utachofanya, its okay, i’m okay

[chorus]

it’s okay with me (sawa tu)

i’m okay (sawa sawa sawa sawa tu)

it’s okay with me

i’m okay

it’s okay with me (sawa tu)

i’m okay (sawa sawa sawa sawa tu)
its okay with me

i’m okay

[verse 2]

nilijiforce ukanipa uchizi nikaona nisicomplicate

sisikilizi ngoma zote ambazo nilikudedicate

umenishawishi niwe mbishi kuziamini hizi sketi

silazimishi wale wabishi n*z* haiwezi kudigest

na nashukuru nimeshtuka, soon i was fall deep

na kuiona sura yangu kwеnye show uwe na fee

put some rеspect on my name namba yangu isave hivi

sugar dady ambae atanipa gono na hiv

[bridge]

umeniblock ili nsione unachopost.. that’s okay
umeniintroduce kwa wana as a friend.. that’s okay

everyday uko busy, sikuulizi.. that’s okay

na chochote utachofanya, its okay, i’m okay

[chorus]

it’s okay with me (sawa tu)

i’m okay (sawa sawa sawa sawa tu)

it’s okay with me

i’m okay

it’s okay with me (sawa tu)

i’m okay (sawa sawa sawa sawa tu)

its okay with me

i’m okay

[outro]

it’s okay

it’s okay

i’m okay yaa

itakua sawa

everything is gonna be alright

i’m outside, ntakua sawa

everything is gonna be alright

i’m outside, ntakua sawa

everything is gonna be alright

i’m outside, ntakua sawa

everything is gonna be alright

i’m outside, ntakua sawa

everything is gonna be alright

i’m outside, ntakua sawa

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...