lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kwaaa – rapcha

Loading...

[intro]

it’s been a minute shawty

last king of 90’s baby

this is crazy!

[chorus]

ananizunguka tu kichwani like

kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

em cheki anavyo

waka waka waka waka waka waka waka

yani like

kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

em cheki anavyo

waka waka waka waka waka waka waka

[verse 1]

maake yuko hot ain’t capping

nahisi kama age yuko twent something

ngoma zake west hamjui last king

ananipa headache namaliza asprin

ukianza na face au weka last

body number 8 hii sio plastic

scent ya kishua kitu ka jasmine

kwapa ni upara shughuli ya waxing

and i guess ye ndo anafanya town kuna joto maana sio siri yuko really hot

nguo haziponyoki zinamshika very tight tight kama rubberband iliokamatia noti

sa sjui tu ni nyenye au ni ugwax

vile yuko byee byee naeza k*m’trust
nachotaka yeye anipe tu nafasi basi

kaikosha nafsi halafu..

[chorus]

ananizunguka tu kichwani like

kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

em cheki anavyo

waka waka waka waka waka waka waka

yani like

kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

em cheki anavyo

waka waka waka waka waka waka waka

[verse 2]

big big back, big a double s
kiti chenye pini ana burst akiketi

kama itatokea ukamuona ukiwa una drive car itabidi upark ndo ubaki concetrate

sijasikia wimbo unao еleza ulivyo beautiful

since first timе nachizika ulivyo mzuri hivyo

hapa bado sijaanza k*mpa sifa zilofichwa

nasubiri anikubali nianze k*mpa kichwa

kizembe hang’oki na faranga

‘afu bonge la ndege havutwi na kamba

moyo un*z*disha tu mikito kwenye heartbeats kama sign beatz unabeat tukimeet

ila sa sjui tu ni nyenye au ni ugwax

vile yuko byee byee naeza k*m’trust

nachotaka yeye anipe tu nafasi basi

kaikosha nafsi ila

[chorus]

ananizunguka tu kichwani like

kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

em cheki anavyo

waka waka waka waka waka waka waka

yani like

kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

em cheki anavyo

waka waka waka waka waka waka waka

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...