lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu melody – rapcha

Loading...

na hii baridi ningekuwa na ye

ningemk*mbatia nkimwimbia nyimbo nzuri za mapenzi all day

nimueleze kuwa maisha yangu yote yaliyobakia kwenye hii dunia ningependa niishi na ye

na hii baridi i would like you to hold me

tell me unanifeel na sio kuniletea story

kila kitu unacho we you control me

niambie the way you feel, baby boy mi i’m on it

na hii baridi tungewatch movie
ndani ya dakika ghafla tuko naked kinawaka like a movie

tukiwa high kwenye good doobie

champagne we sip and kiss

hot water kwa jacuzzi

na hii baridi yani i can’t explain

mi mtu wa misele ila kwa hii mvua ningekaa ndani ntulie

nimpikie kisha nimpakulie

nile nishibе alafu nguvu zangu zote kwake nikammalizie

na timе hii ningemfanya shuka

nimfunike nikimpapasa body yake mpaka kunakucha

nimpanguse kama taulo kuanzia chini hadi juu

nimpitishe ulimi mwili mzima ka namchora tatoo

bridge
kwake sikufall in love

nili*rise juu

hata ka ni gangsta kwake nitakua romantic tu

and i ain’t for the low package

nmechagua kuishi nae kwa mazuri na mabaya yake

chorus

hey baby

unanitesa daily

kichwani kw*ngu kama melody baby

nahofia nkikukosa maana

we ndio unanikosha

oh no!

pa pa mpararaampa
pa pa pa mpa mpa mpararampampa

verse two!

nawaza kama kuna life after death basi nothing can do us apart

sounds like a wedding vow, i like that

kita..

stop!!

tungezima taa

alafu uride fasta kama vile break imekataa

kukuwaza tu napatwa goosebumps

babe haya mambo ya kugombana sio

k*mbuk*mbu yananirudia matukio ya hapa ndani tunavyoshindaga zaidi ya siku tatu bila nguo

i think i miss you

a little bit jealous nawaza ka uko na mi tu

should i tex you!? nah nitaku*mind tugombane tu

i think i’m not the only one you’ve been dealing with

but im sure we can fix this

nitaacha ego nimpigie nimwambie nimemmiss

maana siku itaisha vipi sijaongea nae

sijaona cha kunieka mbali nae

kwake siku*fall in love

nili*rise juu

hata ka ni gangsta

kwake nitakua romantic tu

and i ain’t for the low package

nimechagua kuishi naye kwa mazuri na mabaya yake

chorus

hey baby

unanitesa daily

kichwani kw*ngu kama melody baby

nahofia nkikukosa maana

we ndio unanikosha

oh no!

pa pa mpararaampa

pa pa pa mpa mpa mpararampampa

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...