lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu tunasafiri – rapcha

Loading...

huture where are you at?

[verse 1]

oya twende tukadake bomu

das das wanangu inabidi tujichange

chap tukadake na misosi

hela ka haitoshi inabidi tujipange

kutembea na vitu hiyo ni soo

mjini tuwe makini k*mejaa maafande

maana tukidakwa itatucost

leo ijumaa tukidakwa mpaka monday

mi na wanangu tuko sober

tunataka tukapae juu onetime

twende zetu tukavuke border
tumepanga kusafiri tu onetime

mi na wanangu tuna vibe

usiombe tufungue mziki kwenye gari

kila siku tuko tuna fly

passport imejaa mihuri hatari

[chorus]

all night long

tunasafiri tu

na this is how we go

tunasafiri tu

[verse 2]

mida ya kuhama time zone (zone)
flight mode hautonipata kwenye phonе

kama kuna ishu unahitaji tuzisort

niambie kabla sijafika airport

nkiwa kwa safari ni party sioni hata message nikitua nitakuta info

kama unanidai usijali soon nitarudi safari sio kifo

oya

mi na wanangu tuko sobеr

tunataka tukapae juu onetime

twende zetu tukavuke border

tumepanga kusafiri tu onetime

mi na wanangu tuna vibe

usiombe tufungue mziki kwenye gari

kila siku tuko tuna fly
passport imejaa mihuri hatari

[chorus]

all night long

tunasafiri tu

na this is how we go

tunasafiri tu

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...