lirik lagu ccm wayaa! – rayvanny
wayaaa! wayaaa! wayaaa!
kama kapiga kichuya wayaaa!
kama kafunga messi wayaaa!
kama kapiga msuva wayaaa!
kama kafunga ronaldo
magufuli kapiga kachapa wayaaa!
wapinzani wameshindwa kudaka wayaaa!
kwenye chama karudi lowasa wayaaa!
tunawafunga kama samata wayaaa!
kipondo kipondo
lazima tuchukue ndoo
tunavyowapa kipondo
kama barcelona kacheza ndondoo
kipondo kipondo
lazima tuchukue ndoo
tunavyowapa kipondo
kama barcelona kacheza ndondoo
barabara kama mbele wayaaa!
kacheza kama pele wayaaa!
tena reggea zipo tele wayaaa!
shule bure bila kwere wayaaa!
kwenye afya kilimo asante wayaaa!
umecheza kama ngolo kante wayaaa!
standard gauge mwendo kasi mwake wayaaa!
umetisha kama mbape
kipondo kipondo
lazima tuchukue ndoo
tunavyowapa kipondo
kama manchester kacheza ndondoo
kipondo kipondo
lazima tuchukue ndoo
tunavyowapa kipondo
kama *rs*nali kacheza ndondoo
wamebana wameachia
samia, suluhu kapiga shuti mbele
wamebana wameachia
kassim majaliwa kama ameandika gere
wamebana wameachia
dr sheni kawakaba shingoni
wamebana wameachia
mwake amepanda mpira kama morrison
pole pole anapiga shuti wayaaa!
mangula anapiga shuti wayaaa!
mangwala anapiga shuti wayaaa!
makonda anapiga shuti
wigulu chemba anapiga shuti wayaaa!
majaliwa anapiga shuti wayaaa!
mama samia anapiga shuti
magufuli anapiga shuti wayaaa!
kona goli …eeeh!
kona goli …eeeh!
kona goli …eeeh!
kona goli …eeeh!
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu justice carradine › lirik lagu endlessly – justice carradine
- kumpulan lirik lagu nanna isl › lirik lagu crybaby – nanna (isl)
- kumpulan lirik lagu sevnsep › lirik lagu bane – sevnsep
- kumpulan lirik lagu blue b › lirik lagu + que ça – blue b
- kumpulan lirik lagu grand pulsar › lirik lagu meia lua – grand pulsar
- kumpulan lirik lagu mohamed hamaki › lirik lagu neseit | نسيت – mohamed hamaki
- kumpulan lirik lagu helio fox › lirik lagu dropack. (whatchu know?) – helio fox
- kumpulan lirik lagu nighterror rx › lirik lagu rip off – nighterror rx
- kumpulan lirik lagu risic › lirik lagu this is why we sing – risic
- kumpulan lirik lagu sunshine christo › lirik lagu boyscout – sunshine christo