lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu chombo – rayvanny

Loading...

eh vanny boy (vanny boy)
foundation, wanja nywele ya bei ya kiwanja
ndinga, mkwanja shopping mwendo wa kuchanja

sponsor, danga, wachune komesha viranga
basi vimba, tamba, block. wakikuchamba
(oh lalala) cheusi mangala, wakanda (oh lalala)
tukale sangara, wa mwanza (oh lalala)
nywele chotara kinanda (oh lalala) geto papara misamba
chombo chombo chombo… kanakwenda na fashion
chombo chombo chombo… kana ngozi ya lotion
chombo chombo chombo… mechi chumbani sebuleni
chombo (chi)chombo chombo… ntakapeleka ukweni

macho yako nalewa mie, figo mkalia nyongo
pekecha pekecha, ulimbi ulimbombo
mi ni wako ni ng’ang’anie, kama mbozi na kimondo
nogesha nogesha, pegere na kamongo
oh baby baby, (baby) mwenzako nita dead*i (my baby)
hizo fujo chumbani betuka binuka kwa bed*i bed*i
(oh lalala) cheusi mangala, wakanda (oh lalala)
tukale sangara, wa mwanza (oh lalala)
nywele chotara, kinanda (oh lalala) geto papara misamba
chombo chombo chombo… kanakwenda na fashion
chombo chombo chombo… kana ngozi ya lotion
chombo chombo chombo… mechi chumbani sebuleni
chombo (chi) chombo chombo… ntakapeleka ukweni
oh lo lo lo lo lo lo lo lo
oh lo lo lo lo lo lo lo lo

ayo lizer

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...