lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu corona – rayvanny

Loading...

corona, corona, corona
corona, corona, corona

wote tumuombe mungu kwa hili janga
ikibidi lipite
tujihadhari na tujikinge
ili lisitufike

habari kote duniani zimesambaa
ugonjwa unaua na hauna tiba
na wengine wetu masikini hatujiwezi
mwenyezi mungu kawe tiba

watoto wetu mashule, aah
mama zetu tu sokoni
kwenye vyombo vya usafiri makazini
tujilinde

osha mikono, aaah
epuka mikusanyiko sio ya lazima, aaah
na uonapo dalili
mapema wahi hospitali

corona, corona, corona
corona, corona, corona
corona, corona, corona
corona, corona, corona

‘hatua zimeshaanza kuchukuliwa
ameshatoa tahadhari mbalimbali
ambazo tunatakiwa kuzichukua
napenda nirudie ndugu zangu watanzania

kwanza ni vizuri sana tukaendelea
kuchukua tahadhari, kwa nguvu zote
ugonjwa huu unaua, na unaua kwa haraka sana
niwaombe ndugu zangu watanzania

tusipuuze ungonjwa huu
tusipuuze hata kidogo
ni lazima tuanze kuchukua hatua
za kujikinga kwa tatizo hili

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...