lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu forever – rayvanny

Loading...

forever
forever
forever

forever
forever
forever
forever
forever

nilianza kusikia sauti yako
kabla sijaona sura
ikafanya nikageuka
macho yangu yakakutana na yako
oooh mashallah
nikahisi malaika ameshushwa

maana rangi macho umbo lako
likanivuta kwako tuongee
nikakuuliza jina lako namba yako
ndio ulikuwa mwanzo wa mi na wewe
uuuh baby

umenifungulia dunia ya mapenzi
nimesahau mateso
nakufungulia dunia yakukuenzi
we ni w*ngu leo na kesho eeeh eeeh

nakupenda, sikuachi
we ni w*ngu, i promise
nakutaka, kando yangu
sikuachi, i promise
mi na wewe

forever
forever
forever, me and you
me and you forever, baby
forever
forever
forever, mi na we
nitazikwa nawe

mtoto mbichi teketeke aki mama umelainika
umeumbika acha nik*mwagie sifa
waruke sarakasi na mateke uzuri wako hawatofika
mama umejazisha mikate yak*miminisha

baby waonyeshe cheko (cheko)
wape mideko (deko)
we mzuri, filter na make up waachie wao
na unawapa mateso (teso)
watajifunika leso
waonyeshe kiburi wajue wewe ndio mama lao
aiyaa yaaah

umenifungulia dunia ya mapenzi
nimesahau mateso
nakufungulia dunia yakukuenzi
we ni w*ngu leo na kesho

nakupenda, sikuachi
we ni w*ngu, i promise
nakutaka, kando yangu
sikuachi, i promise
mi na wewe

forever
forever
forever, me and you
me and you forever, baby
forever
forever
forever, mi na we
nitazikwa nawe

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...