lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu juju – rayvanny

Loading...

(its s2kizzy beiby)
hasta lavie!

kanipiga kipapai (juju)
eeh kipapai (juju)
kanipiga kipapai (juju)
aaah! kipapai (juju)

kanipiga kipapai (juju)
eeh kipapai (juju)
kanipiga kipapai (juju)
aaah! kipapai (juju)

akiniangalia (juju)
namlipia bia (juju)
akinikatikia (juju)
pesa namrushia (juju)

kaniroga kiwepesi (juju)
hapa naiwaza gesti (juju)
mimi nakunywa baharini (juju)
yeye nampa hennesy (juju)

akicheat muache acheat
maana kw*ngu fiti nasema simwachi
wafanye kwenye viti
ama kwenye miti mi sitingishiki
nasema simwachi!
kanipiga kipapai (juju)
eeh kipapai (juju)
kanipiga kipapai (juju)
aaah! kipapai (juju)

kanipiga kipapai (juju)
eeh kipapai (juju)
kanipiga kipapai (juju)
aaah! kipapai (juju)

[zlatan]
kanipiga kipapai (juju)
sema nimekufa kibodo
kanipiga kipapai (juju)
akija ghetto nampa joto


kanipiga kipapai (juju)
eeh kipapai (juju)
kanipiga kipapai (juju)
aaah! kipapai (juju)

kanipiga kipapai (juju)
eeh kipapai (juju)
kanipiga kipapai (juju)
aaah! kipapai (juju)
mango kipanda ndege ruka juu(juju)
nitatembea kwa miguu (juju)
panda range brand new (juju)
mi nitapanda kirikuu(juju)

ata nikikufuma ghetto na msela
kununa sipendi
umenipiga juju kibendera
zoba la mapenzi

eti nimеmwona na pimbi (enhe)
anadanga kidimbwi (enhe)
anakuchuna shilingi
niacheee (zoba la mapenzi)

elеment maisha kamwaga radhi (enhe)
tipsi ana mabwana shazi (enhe)
fourty fourty room nala chansi
niacheee (zoba la mapenzi)

akicheat muache acheat
maana kw*ngu fiti nasema simwachi
wafanye kwenye viti
ama kwenye miti mi sitingishiki
nasema simwachi!
kanipiga kipapai (juju)
eeh kipapai (juju)
kanipiga kipapai (juju)
aaah! kipapai (juju)

kanipiga kipapai (juju)
eeh kipapai (juju)
kanipiga kipapai (juju)
aaah! kipapai (juju)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...