lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mtamu – rayvanny

Loading...

smile yako nare (nare)
urembo wako nare (nare)
kila kitu nare (nare) nare
mamacita sinyorita margarita
toto kwa baridi nipe joto
nikilala we ndo ndoto
mi wako mtoto
aaaah toto joto
kwa baridi nipe joto
nikilala we ndo ndoto
mi wako mtoto
we ndo mtamu mtamu tu
we ndo mtamu mtamu tu
we ndo mtamu mtamu tu
we ndo mtamu mtamu tu
we ndo mtamu mtamu tu
we ndo mtamu mtamu tu
aaaah sikujua kupendwa hivi raha
sikujua yananoga hivi na
umechukua akili yangu dah
ukiniacha wallahi mi kichaa
uuuh umenipa nini mbona
umenipendelea mimi
uuuh hata siamini mahaba yote
haya yangu mimi
aibu yao hao
walosema tutaachana hao
ndo kwanza tunapendana hao
inawauma sana
aibu yao haoooo
walisema ntaachika hao
ona wanadhalilika hao
raha anazonipa
baby w*ngu mtamu
we ndo mtamu mtamu tu
we ndo mtamu mtamu tu
we ndo mtamu mtamu tu
we ndo mtamu mtamu tu
we ndo mtamu mtamu tu
nitaleta zawadi mama i swear
nitaleta maua mama
nitaleta zawadi mama i swear
nitaleta maua mama
toto joto
kwa baridi nipe joto
nikilala we ndo ndoto
mi wako mtoto
aaaah toto joto
kwa baridi nipe joto
nikilala we ndo ndoto
mi wako mtoto
smile yako nare (nare)
urembo wako nare (nare)
kila kitu nare (nare) nare

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...