
nipigie - rayvanny lyrics
kama itatokea siku, utanimiss mie
namba yangu ile ile naomba unipigie
kama umepata muda unitembelee
si kwa ubaya ila, hali tu unijulie
vita vya ukimya tuliopigana mimi na wewe
nimekiri nimeshindwa mimi bado ni yule yule
uliugusa moyo w*ngu nakuleta tofauti pale
kwenye kapu langu la hisia nafasi nyingine unipatie
ooh, hakuna wakulijaza pengo lakooo
moyo mtima unatamani pendo lako
nipendwapo napajua ndio maana napajali
maumivu yako nayatambua nimechoka kuwa mbali
na k*miss k*miss honey wewe
sio rahisi rahisi kuwa mwenyewe
nipigie nipigie
nipigie nipigie
nipigie hata kidogo nikusalimie
nipigie nipigie
nipigie nipigie
nipigie j*po hali nikujuliе
kama ukipata muda
sauti yangu uisikie
msimamo w*ngu ule ule
kisa au sеma nirudie
kama ukipata wasaa usinizungumzie
si ulipata wengine mie niache usinifikirie
sura yako maridhawa umeizalilisha
kwa tabia yako
niache niache baki peke yako
moyo w*ngu umeugawa umenihuzunisha
basi fanya yako
niache niache mwana wa mwenzako
kwani nilikupenda kwa dhati
nikaapa sikuachi mtoto ulo smart
penzi lis’o na bahati limefika tamati
sa’ nahesabu mabati
maadui kindakindaki umewapa nafasi
sa’ wananidhihaki
upendo umekaangwa chapati
ushaunguza basi kuwa nawe sitaki
niaaacheee
nipigie nipigie
nipigie nipigie
nipigie hata kidogo nikusalimie
nipigie nipigie
nipigie nipigie
nipigie j*po hali nikujulie
Random Song Lyrics :
- yzly - miloserdovartiommm lyrics
- de uns tempo pra cá - nhxbi lyrics
- terastallization - shofu tha beatdown & g. yee lyrics
- 404 - cubensis lyrics
- you can't hide - asteria lyrics
- in your room - blancmange lyrics
- diferentes iguais - os under-undergrounds lyrics
- calvin "really bad" klein - chessplayer8 lyrics
- “who’s the monster now?” - stingless pain & kiioka lyrics
- villain - paul calder lyrics