lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sisi – rayvanny

Loading...

raha kulewa mbele ya maadui zako
raha kulewa mbele ya maadui zako
raha kulewa mbele ya maex zako
raha kulewa mbele ya maex zako

iii eeh
chuii eeh
vanny boy
s2kizzy bab

hivi unaakili wewe zinacharge kweli
yani uko na bebe inaminyama
tukuachia mwenywe
hivi unaakili wewe zinacharge kweli
yani uko na bebe inaminyama
tukuachie mwenywe
hivi unaakili wewe zinacharge kweli
yani uko nadanga linamiela tukuachie mwenyewe
hivi unaakili wewe zinachargе kweli
yani uko na danga linamiela tukuachie mwеnyewe

eeeh
eeh

raha kulewa mbele ya maadui zako
raha kulewa mbele ya maadui zako
raha kulewa mbele ya maex zako
raha kulewa mbele ya maex zako
shoot kila kitu watuone
tunavo kula bata iwachome
sisi sio level zao watuone
bado wananuka maziwa watoto wa waganyoni

sisi awoo
eeeh sisi awo
sisi awo sio wengine ni sisi awoo
sisi awoo
eeeh sisi awo
sisi awo sio wengine ni sisi awo

raha kulewa mbele ya maadui zako
raha kulewa mbele ya maadui zako
raha kulewa mbele ya maex zako
raha kulewa mbele ya maex zako

shoot kila kitu watuone
tunavo kula bata iwachome
sisi sio level zaoo watukome
bado wananuka maziwa watoto wakanyonye

sisi awoo
eeeh sisi awo
sisi awo sio wengine ni sisi awo
sisi awo
eeeh sisi awo
sisi awo sio wengine ni sisi awo

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...