lirik lagu monday to sunday – rich dad
wanasema saka saka udake wa kuvimba
maskini hana chake pesa inatulinda
mjini hatuna kitu ila kung’oa inapendeza
skuizi tunavimba kubembelezana zilipendwa
sie wengine tumezaliwa uswazi
tukipataga zali huwaga tunamwaga radhi
mizuka mingi kuchele ndanda na kazi
tukiskia kimenuka ndo tunachange mavazi
tunapochomeka jua kwa mambo ya fedha
nkipata manzi nua kwa supu ya pweza
leo club nararua sihofu kucheza
kama bia za kitonga vile nateleza
(swing)
chorus
hakuna kubana bana
maisha nasonga bana
niko free nazo nyachi nachanga bana
monday to sunday
because of god im free yeah -2
hakuna kubana bana maisha nasonga bana
niko free nazo nyachi nachanga bana
verse 2
nagusa vingi kama n-z-ni ndotoni
siwezi lala si unajua kunazo kuku batani
(ahhh)
mizuka mingi kama mganga tapeli
mida ya watoto wa mbwa kuku wamefungwa bandani
vile tumehustle (all the way up)
swing kwenye beat baby gal show me what u got
hizi pesa za mawazo (mixer na shida)
mtoto akitakaga goma ni taekwondo za china
tuliza mtori nyama ziko down down
down town hakuna kitu utaoffer kwa easy fam
run town bila mishe huku mtaani unaishia kuoffer man down
huna pesa af unataka ustar town
mad mind
mapenzi humaliza ham na akili
ndo maana nkipata uzima nazamaga mpaka realy
sinaga tamaa na ndala nyingi za mjini
mwanamke tabia sura na shape juu mpaka chini
chorus
bridge
oya wanangu tena tunaji boost
tunajiboost kwa mda.. -4
chorus
..——– end——–
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu friends › lirik lagu perpetual crush – friends
- kumpulan lirik lagu mc dacapri › lirik lagu dacapri – eva – mc dacapri
- kumpulan lirik lagu citysick › lirik lagu chin up, slugger – citysick
- kumpulan lirik lagu lollypm › lirik lagu óceán – lollypm
- kumpulan lirik lagu mierno › lirik lagu cemetery playgrøunds – miernø
- kumpulan lirik lagu melika › lirik lagu honor in me – melika
- kumpulan lirik lagu oz4rk › lirik lagu rocket (navii) – oz4rk
- kumpulan lirik lagu 向井太一 taichi mukai › lirik lagu konomama – 向井太一 (taichi mukai)
- kumpulan lirik lagu mr children › lirik lagu 口がすべって (kuchi ga subette) – mr.children
- kumpulan lirik lagu poyrazfk › lirik lagu imeras – poyrazfk