lirik lagu nimebadilika – ringtone and silk
chorus ringtone
nimebadilika ngugu zangu nimebadilika;
mi si wazamani nimechange ni kiumbe kipya(repeat)
verse
tangu zamani nyi mmenijua mtaani bombolulu tukiwalipua,
tulikua wakali kwa kuiba mali kuvunja milango hata nyumba za mbali,
tulifanya waschana watoke darasani kwa kuwapa mimba wakabaki matatatani,
walipof-kuzwa makwao nyumbani,
tuuliwaacha mataani wakilia jamani,
tuliendanga makwao usiku katikati twapita dirishani twaenda kwetu nyumbani,
twawarudisha asubuhi kupita dirishani sikua na ndoto na maono ya usoni,
tangu yesu anijie nina amani moyoni.
back to chorus
verse
nilikua mi mlui kufanya vitu mingi ni kama mi sijui,
ikifika jioni nishatoka ma mishoni nakua mbioni mpaka jikoni,
nashikwa na wazimu nachukua hiyo simu,
masa yuko janta hawezi kunishika najisambaza bila kuwaza,
wakati mwingine mimi nashika koti ya mbuyu pia namtoanisha,
kisha naita mabeshte sita kisha tunafika shopping center,
muda ukipita tushachoka kukatika tunabamba pombe kisha tunawaka,
zote nimewacha sasa nimechange yoo,
back to chorus
verse
kama ni pombe sigara kuhanya ndugu,
nimebadilika
siendi tembo mamba na pia carnivore
nimebadilika
nimeoshwa nimetakazwa ndugu
nimebadilika
hata pia wewe ukitaka dada utabadilishwa,
yesu jo alininishika moyoni nimemuweka
sirudi nyuma ninaenda mbele namutumaini ye ni wa milele;
nilikua mi sina nyumba yesu jo alinipatia,
ninakusishi pia wewe ndugu ugundue siri umufuate yesu.
back to chorus
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu boban rajovic › lirik lagu ne vjerujem – boban rajović
- kumpulan lirik lagu spider zed › lirik lagu mes ex, pt. 1 – spider zed
- kumpulan lirik lagu 2all › lirik lagu o plano – 2all
- kumpulan lirik lagu daniel santacruz › lirik lagu bailando contigo – romance version – daniel santacruz
- kumpulan lirik lagu bezegol › lirik lagu forever love – bezegol
- kumpulan lirik lagu pueblos › lirik lagu bukiet smaków – pueblos
- kumpulan lirik lagu arts matter › lirik lagu i’m just myself – arts matter
- kumpulan lirik lagu brisom › lirik lagu kundiman – brisom
- kumpulan lirik lagu illenium › lirik lagu fractures – illenium
- kumpulan lirik lagu flowertruck › lirik lagu sunshower – flowertruck