lirik lagu black and blue – robbie omol
[chorus]
your love is
black and blue, its so true
i feel you
every morning and afternoon
[verse 1]
wacha tu niseme hii story
tangu nikupate nairobi
sijataka kuenda kwingine
umenionyesha maisha
katika ushirika kanisani
mola akubariki
[verse 2]
na mangoma kali
tukiskiza hali
tutaongea kuhusu siku za usoni yani
vile yesu alitubadilisha hayo mavazi
sina siri ju siri zangu aliweka angazani
nataka tujuane
lakini sio kwa telly
roho yako inajua kuna siku kuna mwezi
ya mwanaume kuamua
yesu mtetezi
nifungulie njia ili nipate mapenzi
[chorus]
your love is
black and blue, its so true
i feel you
every morning and afternoon
[verse 1]
wacha tu niseme hii story
tangu nikupate nairobi
sijataka kuenda kwingine
umenionyesha maisha
katika ushirika kanisani
mola akubariki
[outro]
black and blue, its so true
every morning and afternoon
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu michael krueger › lirik lagu pólvora – michael krueger
- kumpulan lirik lagu modest mouse › lirik lagu whenever i breathe out, you breathe in (positive/negative) – modest mouse
- kumpulan lirik lagu forever the sickest kids › lirik lagu nikki – forever the sickest kids
- kumpulan lirik lagu jaydayoungan › lirik lagu head bust – jaydayoungan
- kumpulan lirik lagu tm298 › lirik lagu odd tune – tm298
- kumpulan lirik lagu tom waits › lirik lagu burma shave – tom waits
- kumpulan lirik lagu seyte › lirik lagu les verrous du son – seyté
- kumpulan lirik lagu tiers monde › lirik lagu l.d.a. (langage des armes) – tiers monde
- kumpulan lirik lagu ken ashcorp › lirik lagu twenty percent cooler – ken ashcorp
- kumpulan lirik lagu west niles › lirik lagu blue october – west niles