lirik lagu bangi – rorexxie
si′ ya kwa sababu nyingine tu, ni bangi tu!
hizi ni salam marafiki na wazazi, niko jela mi’ yapata mwezi
sioni jua, sioni watu, sioni mwezi, nitafanya nini nakutoroka siwezi
ninajiuliza ′nikosa gani vile, lililonifanya mi niteseke daily?’
nagundua ya kuwa kijiti kile, kilinipa moli sababisha mi pore
(bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
(bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
nilopo pisi nikajihisi jambazi, mara mbele yangu kajipendekeza tozi
nikapiga ngeta ngeta mfano wa kitanzi
nikazama ndichi nikatoka na michuzi
k*mbe polisi walikuwa mbele yangu
walizania kuwa wizi kazi yangu
walinikamata na ngonga virungu
wamenipa geto jela ndo chumba changu
(bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
(bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
naimba muziki sauti haitoki
sorry mashabiki msijenge chuki, ilishaacha ziwa la mama bila mikiki
itakuwa hiki kijiti kinachileta dhiki
marijuana
20 percent kuruti na fam boy (oha nai nai nai) vampire
(bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
(bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
hiyo mi mbuu jela usiseme
utaumwa homa mpaka ukome
saa 5:00 unapelekwa ukalime
hata kulala tuna lala mchongome
ganja ganja ganja (ah ah ah chorus sio 20, chorus hii hapa)
(bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
(bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
(ahh ahh chris shine wa mavampaya, vampaya
producer maji manwater big up sana babu)
(20 percent kuruti na ma fam boys sindano ndogo inayoshona makoti)
up level
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu cifack › lirik lagu infamous part 1 – cifack
- kumpulan lirik lagu young prince › lirik lagu get money – young prince
- kumpulan lirik lagu wilow amsgood › lirik lagu une cacahuète de plus – wilow amsgood
- kumpulan lirik lagu original flow mastaz › lirik lagu les saisons – original flow mastaz
- kumpulan lirik lagu raheem x › lirik lagu the godly hypocrites – raheem x
- kumpulan lirik lagu mikill pane › lirik lagu andy warhol – mikill pane
- kumpulan lirik lagu dennis abel › lirik lagu fall in love again – dennis abel
- kumpulan lirik lagu plumbo › lirik lagu harry hoover – plumbo
- kumpulan lirik lagu skinnie trill › lirik lagu highway – skinnie trill
- kumpulan lirik lagu troom › lirik lagu primus luporum – troom