lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nilitegemea – rorexxie

Loading...

(nilitegemea wewe utakuwa na mimi, maisha yangu yote)
(mipango ya mungu na ahadi yako, imefanya leo unipotee)
(ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)

(ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)

nina huzuni moyoni, mpenzi mi′sikuoni
umenitoka machoni, umebaki akilini
ipo siku moja tutaonana, minakuombea dua njema
ulivyopumzika pema, lala pema peponi amina

kulia nimeshalia, moyoni hujanipotea
mwenyewe nilishazowea, narudi unanipokea
nani atanipokea? (pia), wewe umetangulia
na sisi tutafuatia, hakuna ataebakia

lala, lala, pema (lala pema)
ulale, lala pema (yeah)
lala, lala pema, mollah akulipe mema

(nilitegemea wewe utakuwa na mimi,)
(maisha yangu yote), utawa na mimi maisha, yangu yote
(mipango ya mungu na ahadi yako)
(imefanya leo unipotee) imefanya unipotee
(ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
(ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)

nimezaliwa na mimi, ila nahisi nakuwa*crazy
hakuna sababu nyingine, ila ni wewe w*ngu mpenzi
juzi juzi wamenitoa kwenye kitanzi, yani sijitambui napiga dakimazi

hivi ni lini nitakuona, penzi letu kurudi tena?
wanawake wengi nimeona, nangoja ruhuksa yako kimwana

yanatoka moyoni, mwengine simtamani
wewe ndo unathamani, ila haupo tena duniani
yanatoka moyoni (bibi) mwengine simtamani
wewe ndo unathamani, ila haupo tena duniani

(nilitegemea wewe utakuwa na mimi, maisha yangu yote) nilitegemea
(mipango ya mungu na ahadi yako, imefanya leo unipotee) nilitegemea
(ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
(ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)

ni kilala naota, naota kama unaniita
kama jana usiku saa sita, harufu yako yamafuta
gheto kwenye sita kwa sita, nimehisi kama unaniita
ile kush*tuka naamka, k*mbe bado naota!

nikicheki picha zako (aanh), ak*mbuka ukoo lako
nikiona nguo zako, natamani kukufuata uliko
lile jasho lako, bado kw*ngu liko, nimasikitiko kwaajili yako

(nilitegemea wewe utakuwa na mimi, maisha yangu yote) kwaajili yako
(mipango ya mungu na ahadi yako)
(imefanya leo unipotee) imefanya leo unipotee
(ajali ajali), ajali (imekufanya darling huwe mbali (ajali)
(ajali ajali), ajali
(imekufanya darling huwe mbali) imekufanya darling uwe mbali

dedication to all, kulindana nao, kila atakae ku*give you complex
soko hile
mtoto wa dani huyu, na wengine wengi waliotutoka kwa ajali tofauti,
pamoja na aliya, rest in peace

pamoja sana, back yard record, 20 pah

(nilitegemea wewe utakuwa na mimi,)
(maisha yangu yote), utawa na mimi maisha, yangu yote
(mipango ya mungu na ahadi yako)
(imefanya leo unipotee) imefanya unipotee
(ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
(ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...