lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kumbe ndivyo ulivyo – rose muhando

Loading...

naona kama maono, k*mbe ndivyo ulivyo
nilidhani ‘kama ndoto, k*mbe ndivyo ulivyo, nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi, k*mbe ndivyo ulivyo
umekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, k*mbe ndivyo ulivyo ooh
si mwepesi wa hasira, baba ni mwingi wa rehema, ndivyo ulivyo oh
wewe unatuwazia mema, kuliko tunavyodhani, ndivyo ulivyo
mawazo yako hayafanani na mawazo ya wanadamu, baba ndivyo ulivyo
nani kama wewe, mwepesi wa kusamehe, ndivyo ulivyo ooh
wema wako hauneneki katikati ya wanadamu jehova, k*mbe ndivyo ulivyo;

ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo
ooh ndivyo ulivyo
hakuna kupinga
2)
tulia kwa mungu, hushuka na kutufariji, baba k*mbe ndivyo ulivyo oh
usiku na mchana hulali husinzii mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh
pale tusipoweza kutenda wenyewe kwa mikono yetu yehova, ndivyo ulivyo ooh
huingilia kati ‘yale yote tunayoshindwa wewe ndivyo ulivyo
msaada wakati tunapochoka, yehova
ndivyo ulivyo ooh;

3)
mungu uliwakusanya walioachwa
ukawak*mbatia baba ndivyo ulivyo
waliokosa tumaini weka tumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo ooh
waliokata tamaa, wewe unawatia nguvu baba ndivyo ulivyo ooh
vile nionavyo mimi si kama utazamavyo baba k*mbe ndivyo ulivyo oh
huruma zako zimevuka vilindi vya bahari, mungu we eeh k*mbe ndivyo ulivyo
hakuna kupinga;

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...