lirik lagu alele – ruby
its bob manecky.. heeh yeaah…
nikisema nitakufa
kisa mapenzi, moyoni nitamkosea
wanayadhani nina ufa
hakuna mwenzangu, nyumba inamdondokea
mi najua
sina dhamani kwako utanik-mbuka
nishatenda wema
mi nakwenda zangu utanik-mbuka
poleza na moyo we, mwaya we
najua amekuumiza
ila yupo mungu, baba
najua atalipiza
6 fast rising nigerian artist to watch out for in 2019
pole sana moyo, mwaya
najua amekuumiza
ila yupo mungu,baba
najua atalipiza
alele, nishalia
alele, nikaumia
alele, sina dhamani kwako
alele, mtima ulilia
alele, maana wengine wapo…
alele, nishalia
alele, nikaumia
alele, sina dhamani kwako
alele, mtima ulilia
alele, maana wengine wapo…
kwa mitaa jamaa anaandamana
kweli mapenzi y-n-liliwaa
niliachaga drama na ujana
eey yeah…
yalianzaga enzi
ikanenaga na nafsi acha nivumilie
jamani mapenzi
yamekuwa hadithi acha nisimulie
poleza na moyo we, mwaya we
najua amekuumiza
ila yupo mungu, baba
najua atalipiza
pole sana moyo, mwaya
najua amekuumiza
ila yupo mungu,baba
najua atalipiza
alele, nishalia
alele, nikaumia
alele, sina dhamani kwako
alele, mtima ulilia
alele, maana wengine wapo…
alele, nishalia
alele, nikaumia
alele, sina dhamani kwako
alele, mtima ulilia
alele, maana wengine wapo
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu yung srek › lirik lagu párno ve filmu – yung šrek
- kumpulan lirik lagu d3ma thatsimo timmy commerford › lirik lagu infinity – d3ma, thatsimo, timmy commerford
- kumpulan lirik lagu peder elias › lirik lagu fifa – peder elias
- kumpulan lirik lagu darien fields › lirik lagu breakfast in bed – darien fields
- kumpulan lirik lagu mighty mouth › lirik lagu 멕시코 (mexico) – mighty mouth
- kumpulan lirik lagu sesentay6 › lirik lagu el tema antes del álbum (intro) – sesentay6
- kumpulan lirik lagu bae delar › lirik lagu i – love – bae delar
- kumpulan lirik lagu sebastien lacombe › lirik lagu so you say – sébastien lacombe
- kumpulan lirik lagu northern lite › lirik lagu one two three – northern lite
- kumpulan lirik lagu alex symmoria › lirik lagu crazy – alex symmoria