lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nikome wewe mzushi – sabaha salum

Loading...

nikome wewe mzushi

kila nipatalo napat*n*lo
likiwa ni ovu au liwe jema
lako unalo utakufa nalo
roho yako mbovu fisadi si wema

mimi namuomba mungu ndio nafanikiwaa
na roho yangu nzuriii
wewe wa kufuru mungu ndio wa haribikiwaa
kwa roho yako mbaayaaaa
maadamu nimeswafii niaa
ubaya wako utakurudiaaa
maadamu nimeswafii niaa
ubaya wako utakurudiaaa
ooooohhh aaaahh oooohhh

aaaaaaahhh mmmmmmhhh

nikome wewe mzushi paparadhi manafikiii
hunilishi hunivishi hunipi wewe ridhikiii
nikome wewe mzushi paparadhi manafikiii
hunilishi hunivishi hunipi wewe ridhikiii
thamani yangu hushushii
napendeza sina dhikiii
kwa raha zangu naishiii
niko safi sina chukii
thamani yangu hushushii
napendeza sina dhikiii
kwa raha zangu naishiii
niko safi sina chukii
hupendi kuniona naishi jambo hilo nihakikii
ooooohhh
ni bure safishi nipe sumu si dhurikii
ooooohhh
hupendi kuniona naishi jambo hilo nihakikii
ooooohhh
ni bure safishi nipe sumu si dhurikii

ridhiki anipa mungu hunipi wewe kiumbee
utakufa kwa uchunguu huwezi unizibieee
wacheka wajichekesha rohoni mwako unaumiaaa
oooooohhh unaumiiaaaa
hakuna asie kujua wewe una roho mbaya
hakuna asie kuelewa fisadi choyo kimekujaaa
hakuna asie kutambua unataka upate wewe
wenzio wakosee oooohhh wakosee
ndo ya zidi kung’araa nuru ya nyota yanguuu
ndio inayokukera na yakuzidisha machunguuu
bado ya zidi kung’araa nuru ya nyota yanguuu
ndio inayokukera na yakuzidisha machunguuu

umeziunda idara
uvuruge maisha yangu
niko shari wastaraa
kupendwa bahati yangu
umeziunda idara
uvuruge maisha yangu
niko shari wastaraa
kupendwa bahati yangu

rabii kwa zake kudura napata ridhiki yangu
ooooohhh
kwa kila lenye madhara anilinda mola w*ngu
aaaaaaahhh
rabii kwa zake kudura napata ridhiki yangu
ooooohhh
kwa kila lenye madhara anilinda mola w*ngu

ridhiki anipa mungu hunipi wewe kiumbee
utakufa kwa uchunguu huwezi unizibieee
wacheka wajichekesha rohoni mwako unaumiaaa
oooooohhh unaumiiaaaa
hakuna asie kujua wewe una roho mbaya
hakuna asie kuelewa fisadi choyo kimekujaaa
hakuna asie kutambua unataka upate wewe
wenzio wakosee oooohhh wakosee
utaniona hivihivi mwana wa mwenziooo
nameremeta maisha yangu mazuriiii
nafasi ya upendeleo najifariji moyo w*ngu
acha nibandikwe cheo ni nzuri bahati yangu
kokote pale ni endapo napendwa kwa kadhi yangu
ni bure ni bure ni bure ni hasada zakooo
ni bure ni bure ni bure ubaya wako
ukiona mavazi yananipenda unachanganyikiwa
ni bure ni bure ni bure na choyo chakoo
ukiona napendwa mwenzangu wivu unakupandaa
ni bure ni bure ni bure na ubaya wako
ukiniona navijisenti mwezangu roho inakuumaa
ni bure ni bure ni bure na choyo chakoo
ni bure ni bure ni bure ni hasada zakooo
ni bure ni bure ni bure ni hasada zakooo
ni bure ni bure ni bure na uchoyo wakoo
ni bure ni bure ni bure na uchoyo wakoo

nimekuzoea nishakuzoeaa mimi
kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi

nimekuzoea ooohhh nishakuzoeaa mimi
kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi
mwenzanugu hunackificho wajionesha bayanaaaaaaahh
roho mbaya na kijicho vimekutawalaa sanaaaaahh
ndio maana wavimba macho kila unaponionaaaa
nimekuzoea nishakuzoeaa mimi
kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi
moto wako wa kifuu hunipandishii preshaaaaaahhhhhh
kiti chako kipo juu chaelea kwenye hewaaaaaaah
j*po mnuka kupuu iko chini kuna paawa
nimekuzoea nishakuzoeaa mimi
kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi
n*z* haishindi jiwe hilo nadhani wajuaaaaaaaahhhhh
majani chakarawe wala jua si mvuaaaaaahhh
kanipa mola mwenyewe
nimekuzoea nishakuzoeaa mimi
kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi
nimekuzoea nishakuzoeaa mimi
kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi
nimekuzoea nishakuzoeaa mimi
kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi
nimekuzoea nishakuzoeaa mimi
kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...