lirik lagu wamlambez – sailors
[intro: miracle baby]
wamlambez wamnyonyez
wamlambez wamnyonyez
wamlole… eeeehh
[chorus: miracle baby]
miracle baby me huspin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
ka ni dem me hupin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
aki home nashikisha na mayeng (mmmh ha na mayeng)
zikishika ninadrive na mayeng (mmmh ha na mayeng)
ka huamini enda uulize boroyeng (mmmh ha boroyeng)
anajua me huspin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
wamlambez wamnyonyez
wamlambez wamnyonyez
wamlolee… eeeehh
[verse 1: miracle baby]
hii ni ya madem wenye wanapenda chuma
maboy fiti wanapendaga kulima
dem akipita ‘mmmh hmm’ wanaguruma
akijipa wanapiga bila huruma
miracle baby zimenice nachachisha
nashika jaba juu doh zimejaa bahasha
tuko na ruth siz ya caro na natasha
zikirunda wanaanza kutetemesha
[pre-chorus: miracle baby]
wamlambez (wamnyonyez)
wamlambez (wamnyonyez)
wamlolee…eeeehh
[chorus: miracle baby]
shalkido anaspin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
ka ni dem anaspin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
ka ki-home anashikisha na mayeng (mmmh ha na mayeng)
zikishika anadrive na mayeng (mmmh ha na mayeng)
ka huamini enda uulize boroyeng (mmmh ha na boroyeng)
anajua ye huspin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
[verse 2: shalkido]
usiworry nimefintika
kulikuwa na kajam fulani but tumekapita
pewa tot ziku-nice twende dancing floor
na juu kaduka umefunga nipe thutha yoh
kising’aing’a toka chini hiki kyangu kimesee
nipe sita mbili mbili wamnyonyez nikupee
ukibleki naanza kukuguza unafurahi
nakudema dema nikushike ufeel ukiwa high
shalkido kwenye mic n-z-tema kwenye floor
ikiwabamba mnipe nduru niwashow nikiflow
niwashow nikiflow
niwashow nikiflow
[pre-chorus: miracle baby]
wamlambez (wamnyonyez)
wamlambez (wamnyonyez)
wamlolee…eeeehh
[chorus: miracle baby]
masilver ye huspin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
ka ni dem anaspin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
ka ki-home anashikisha na mayeng (mmmh ha na mayeng)
zikishika anadrive na mayeng (mmmh ha na mayeng)
ka huamini enda uulize boroyeng (mmmh ha boroyeng)
anajua ye huspin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
[verse 3: masilver]
diang’ara, diang’ara, diang’ara
si ni wale wadiang’ara (ate?)
diang’ara, diang’ara,diang’ara
si ni wale wadiang’ara
your gang sh-ghala baghala
ukipeep nakutoa kafara
masilver me huhit wamlambez
masilver me huhit wamnyonyez
ukianika naanua wamlambe
ukianika naanua wamnyonye
masilver!
ukianika naanua wamnyonye
[pre-chorus: miracle baby]
wamlambez (wamnyonyez)
wamlambez (wamnyonyez)
wamlolee…eeeehh
[chorus: miracle baby]
lexxy yung ye huspin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
ka ni dem anaspin na mayeng (mmh ha na mayeng)
ka ki-home anashikisha na mayeng (mmmh ha na mayeng)
zikishika anadrive na mayeng (mmh ha na mayeng)
ka huamini enda uulize boroyeng (mmmh ha na boroyeng)
anajua ye huspin na mayeng (mmmh ha na mayeng)
[verse 4: lexxy yung]
okey, you know me
am this kid on a bigger vision
on a bigger mission
chapa gym, kata weight
pewa liquour no more wait
cheers to the faith
am too hot nikimfake
wamelamba lolo, nikawasha kolo
nikatema lolo, wakabaki solo
nimepiga kuni, ikapiga nduru
ninakemba henny, wanakemba ndoro
macho ziko rada, n-gg- ni wasoro
nimecheki rada, wote ni mavako
ah siko vako, tumetetemesha wote wakatema
tw-nga tw-nga hadi ikalia, hadi ikatema
buda amezima ndani ya kisima
i can hit so dry
you can call me mr ride down and up
i can pick it up
baby drop, pick them off
wanna see you on your birth suit
you know you’re sweet
like the way your mama cook
keep your hands to yourself
never dare touch my siz n-gg- i can pop you off
n-gg- i can pop you off
hahaha timemaraks…
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu 17xana › lirik lagu tsunami – 17xana
- kumpulan lirik lagu dada dza › lirik lagu svi ti ortaci – dada (dza)
- kumpulan lirik lagu 1 person feat shami of mofo › lirik lagu sonafa – 1 person feat. shami of mofo
- kumpulan lirik lagu ramtin ramtin › lirik lagu coupe’d up. – ramtin (ramtin)
- kumpulan lirik lagu lich priest › lirik lagu enslaver plague – lich priest
- kumpulan lirik lagu lil soda boi › lirik lagu cig moms – lil soda boi
- kumpulan lirik lagu 坂口有望 ami sakaguchi › lirik lagu url – 坂口有望 (ami sakaguchi)
- kumpulan lirik lagu roy bee › lirik lagu kiss me again (nightcore mix) – roy bee
- kumpulan lirik lagu guiih martinez › lirik lagu preso em você – guiih martinez
- kumpulan lirik lagu victor tavares › lirik lagu a jornada para a terra da renovação – victor tavares