lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kunitema – sanaipei tande

Loading...

mmh mmh mmmh
ooh ooh

mapenzi kanipofua
kiziwi mi kanifanya
amini kugombana ni kawaida
nyumbani wanakazana, ndivyo inavyotakikana
subutu aibu na laana

nimekaa aah
toneshwa kidonda machozi kulowa usiku kucha ey
nimekaa aah
huzuni moyoni pa kwenda sioni ila hakomi

miye miye miye
sikutaki tena my lover oh nanana
nami sikulilii tena my lover oh nanana
wala sikuwazi tena my lover oh nanana
ila kwako mi nasema
asante sana kunitema

my lover oh nanana mmmh
oh nanana mmmh
oh nanana asante sana kunitema

my lover oh nanana mmmh
oh nanana mmmh
oh nanana asante sane kunitema
akuf*kuzaye haneni ondoka
kukusinya ukachoka
chunga utu kukutoka

nimekaa aah
toneshwa kidonda machozi kulowa usiku kucha ey
nimekaa aah
huzuni moyoni pa kwenda sioni ila hakomi

wacha wacha waseme nina umang’aa
wacha wacha waseme bora furaha
wacha wacha waseme maziwa lala
wacha wacha waseme bora furaha

sikutaki tena my lover oh nanana
wala sikulilii tеna my lover oh nanana
wala sikuwazi tena my lover oh nanana
ila kwako mi nasеma
asante sana kunitema

my lover oh nanana mmmh
oh nanana mmmh
oh nanana asante sane kunitema

my lover oh nanana mmmh
oh nanana mmmh
oh nanana asante sane kunitema

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...