lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nerea – sauti sol feat. amos & josh

Loading...

1(delvin):
nakuomba nerea, usitoe mimba yangu we
mungu akileta mtoto, -n-leta saa ni yake
mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we
mungu akileta mtoto, -n-leta saa ni yake
(bien):
huenda akawa obama, atawale amerika
huenda akawa lupita, oscar nazo akashinda
(amos):
huenda akawa wanyama, acheze soka uingereza
huenda akawa kenyatta, mwanzilishi wa taifa
nakuomba nerea, usitoe mimba yangu we
mungu akileta mtoto, -n-leta saa ni yake
mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we
mungu akileta mtoto, -n-leta saa ni yake

(josh):
huenda akawa maathai, ayalinde mazingira
huenda akawa makeba, nyimbo nzuri akatunga
(chimano):
huenda akawa nyerere, aongoze tanzania
huenda akawa mandela, mkombozi wa afrika
nakuomba nerea, usitoe mimba yangu we
mungu akileta mtoto, -n-leta saa ni yake

mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we

mungu akileta mtoto, -n-leta saa ni yake

nakuomba nerea, nerea, nerea
usitoe mimba yangu
nerea, nerea, nerea
usitoe mimba yangu
huenda akawa kagame(atawale)
jaramogi odinga(tuungane)
huenda akawa tom mboya
huenda akawa rudisha
huenda akawa malaika, mungu ametupatia
huenda akawa sauti sol
huenda akawa amos & josh…
huenda akawa…
huenda akawa malaika, mungu ametupatia

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...