
kuliko jana - sauti sol lyrics
[chorus]
bwana ni mwokozi w*ngu
tena ni kiongozi w*ngu
ananipenda leo kuliko jana
baraka zake hazikwishi
si kama binadamu habadiliki
ananipenda leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
[verse 1]
nakuomba mungu uwasamehe
w*ngalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
na maadui w*ngu nawaombea maisha marefu
wazidi kuona ukinibariki
ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
walimsulubisha yesu messiah bila kusita
ooh, na
[chorus]
bwana ni mwokozi w*ngu
tena ni kiongozi w*ngu
ananipenda leo kuliko jana
baraka zake hazikwishi
si kama binadamu habadiliki
ananipenda leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
[bridge]
wewe ndio nategemea
kufa kupona baba nakutegemea (amen)
chochote kitanikatsia
kuingia mbinguni utaniondolea (ooh*ooh, yeah)
wewe ndio nategemea (amen)
kufa kupona baba nakutegemea (oh*oh)
chochote kitanikatsia
kuingia mbinguni utaniondolea (eh, wewe ndio nategemea)
wewe ndio nategemea
kufa kupona baba nakutegemea (eh, bwana)
chochote kitanikatsia
kuingia mbinguni utaniondolea (eh, maisha yangu yote)
wewe ndio nategemea (kwa nguvu zangu zote)
kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
chochote kitanikatsia
kuingia mbinguni utaniondolea (oh*oh*oh*oh)
[chorus]
na bwana ni mwokozi w*ngu
na tena ni mkombozi w*ngu
ananipenda leo kuliko jana
baraka zake hazikwishi
si kama binadamu habadiliki
ananipenda leo kuliko jana
kuliko jana (kuliko jana)
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
kuliko jana (kuliko jana)
kuliko jana (kuliko jana)
yesu nipende leo kuliko jana
[outro]
wewe ndio nategemea (wewe)
kufa kupona baba nakutegemea (wewe)
chochote kitanikatsia (uh*huh)
kuingia mbinguni utaniondolea
wewe ndio nategemea (ooh)
kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
chochote kitanikatsia
kuingia mbinguni utaniondolea
na bwana ni mwokozi w*ngu (amen)
tena ni mkombozi w*ngu (amen)
ananipenda leo kuliko jana (amen)
baraka zake hazikwishi (amen)
si kama binadamu habadiliki (amen)
ananipenda leo kuliko jana (amen)
kuliko jana
kuliko jana
nipende leo kuliko jana
Random Song Lyrics :
- new rules - scott bradlee's postmodern jukebox lyrics
- secret valentine - mat musto lyrics
- houthi - billy woods + kenny segal lyrics
- shooting stars - money boy lyrics
- i'll wait for you or death - stellar crows lyrics
- dead female stalker - embalmer lyrics
- black president (black donald trump) - king soup lyrics
- hood tales - yung313 lyrics
- other worlds - trivium lyrics
- a voz da emissão - nikão mc lyrics