lirik lagu my life – scott montana
intro
(mmmh mmmmhh mh mh!)
ahh!
verse 1
nimejichangachanga kujipa amani
nitatoboa lini kwenye hii safari
mikasa na nyota ya konda
madrama yapoteza muda
mapema asubuhi niko studio
naimba inster nikiskiza mario
siunajua sifatii kiki
ila mambo yatatiki
nikalelewa na baba wa kambo
nikajifunza na life ya gamble
kitaa kikatambua mi kaa rambo
nikazana nikazama kwa pango
ouhh
bridge
wakataka nisipone
waganga wakashika chonde
aahh
hata maji nani kosee
nayo roho wakaichomaa
nakifo na kikaumana
mbona sijafa mwana
na nimepoteza mw*nga!
hakuna njia sambamba
jalali ni commander
meli imetia nanga
mapepo yanashangaa!
natoka bed nikule bata
aaahh
aahh aaaahhh
ah ah ahhhh
aaahhhh
aaaahaa aaaaa ahaa
verse 2
ahh
nanimfollow hemedai kwa twitter
uno mziki hautaki vita
emaccoy kanifunza gitaa
niimbe na axe khaliff kwenye jukwaa
kisha tuelewane kulvert
dart studio tusijekosana
tusitengane kwa mashidaa
natusonge natuache lawama
ahh!
na mawazo mchana kutwa yanisonga
niingie tundu lipi niweze ponaa
nafsi imejawa na uwoga
w*nga wan*z*di kuniloga
bridge
wakataka nisipone
waganga wakashika chonde
aahh
hata maji nani kosee
nayo roho wakaichomaah
nakifo na kikaumana
mbona sijafa mwana
na nimepoteza mw*nga!
hakuna njia sambamba
jalali ni commander
meli imetia nanga
mapepo yanashangaa!
natoka bed nikule bata
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu vincent randazzo › lirik lagu home life – vincent randazzo
- kumpulan lirik lagu 陳奕迅 eason chan › lirik lagu 黑洞 (black hole) – 陳奕迅 (eason chan)
- kumpulan lirik lagu mama duke › lirik lagu never coming down – mama duke
- kumpulan lirik lagu lieshbet › lirik lagu on your knees – lieshbet
- kumpulan lirik lagu feelingmysorrow › lirik lagu change our reflection – feelingmysorrow
- kumpulan lirik lagu jkru › lirik lagu i’m not okay – jkru
- kumpulan lirik lagu ar ase › lirik lagu how it gotta be – ar ase
- kumpulan lirik lagu don chezina › lirik lagu don don chezina – don chezina
- kumpulan lirik lagu fliplape molgod › lirik lagu wassup ii – fliplape & molgod
- kumpulan lirik lagu jpz › lirik lagu what im made for – jpz