
ndoto - scott montana lyrics
verse 1
oh can i be (can i)
the one (the one)
taking me on top (mmh)
uende nami
uende nami
uende nami
oh moyoni (moyo)
nakidonda najiuguza
nalia saana (mmh)
oh uwe nami
oh uwe nami
oh uwe nami
bridge
napiga mbizi ndio nipate sawa
nakosa siti sina cheti sawa
maisha ni uwazi yana maumivu
nimikasa isio na jibu
nami nahisi kama hakuna dawa
miaka imesonga na sivunji chawa
maisha ni uwazi yana maumivu
nimikisa isio na jibu
chorus
mina omba
nina omba
nina omba
nina omba
ndoto itimie
mina omba
nina omba
nina omba
nina omba
ndoto itimie
verse 2
sij*pata kuona mw*nga wako
bado nateseka huu muda
nitaishi kwa nyumba yako
majeraha uyapate kuuguza
na shida zanifanya nifanyee
(muziki muziki)
nami nitatoboa nipatee
(riziki riziki)
ah
maisha mikiki sir god (mmh mmh)
yanifanya niwe kama choko (mmmh mmh)
na uno mzigo nao (mmmh mh)
ni laki nisiishe na moto
(mmmmhh)
bridge
napiga mbizi ndio nipate sawa
nakosa siti sina cheti sawa
maisha ni uwazi yana maumivu
nimikasa isio na jibu
nami nahisi kama hakuna dawa
miaka imesonga na sivunji chawa
maisha ni uwazi yana maumivu
nimikisa isio na jibu
chorus
mina omba
nina omba
nina omba
nina omba
ndoto itimie
mina omba
nina omba
nina omba
nina omba
ndoto itimie
mmh mmh
mmh mh
mmh mmh
mmmhhh
(sij*pata kuona mw*nga wako
bado nateseka huu muda
nitaishi kwa nyumba yako
majeraha uyapate kuuguza)
Random Song Lyrics :
- flexin' - big hunteee lyrics
- ghost - soar lyrics
- 500 auf kommi - joey bargeld feat. kitschkrieg lyrics
- vay be - berkay işıktutan & kaan malkoç lyrics
- it fills the room - mondo cozmo lyrics
- be free - the four owls lyrics
- see sum - reject da illest lyrics
- so wie im traum - eloy de jong lyrics
- attention - zoe sky jordan lyrics
- lenses - owen lyons lyrics