lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu tundura – sewersydaa mkadinali

Loading...

yo! yo! yo! yo!
rong rende
tundura mambleina ama?
(alex vice)
zozanation yo!
man a driller uh!
cheki
turn me up
turn me up man
yo

caro alipurura akakula karo
na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo ma club
madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano
sai wanaturushia mfupa

caro alipurura akakula karo
na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo ma club
madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano
sai wanaturushia mfupa
tupate juu ya ndom na chrome
in short tuko in high spirits
wanakuadore sana mto
mpaka wanawish mngekuja wawili
si ni ma homegrown ata kwa tv si uona kbc
kuna siku nimeuliza alexa kama anajua siri
akasema zii
eehh! yo!
deal ikiivana seal it
drink ilitepwa
master aliekwa chini na guiness mbili
mgema alinena usienda na mrenga big
kushinda harrier mugithi
hatunanga kichana nywele tun*z*achilianga chini
kama mungiki
naona marithe zitakuwa cheap biden akikalia hio seat
ngithe zihupigwa key kesho yake unaskia vault iko nill
system si hupiga b zabe tunachill na squad ya d
mandem hivo ndio alijua kuwapin kwa street

uko na gun na hauna badge…aje?
tuko club liquor imerun
tuko stranded
wapi mshande? yout wamange
end month na haijakam
watu washandwe
caro alipurura akakula karo
na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo ma club
madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano
sai wanaturushia mfupa

caro alipurura akakula karo
na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo ma club
madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano
sai wanaturushia mfupa

ma reunion zetu si hupatananga tukienda ingata
stone yangu ya kwanza me huk*mbuka nikiichukulia biafra
magava hawakunibamba nilirukia nganya nikaingia angasa
inaitwa uber diving na sibongi sana otherwise nitakuwa vulgar
mode alimwambia ye huwa hashiki kitu ye hushika tu mkia
kufika 16 hakuwai shika p2 alishika tu mimba
amina ye huaminia adi anageuza teacher mjinga
alianza kutupima akakua politician sai amegeuka k!ller
shistem shistem sai adi lion akipatiwa ganji anadiste
niite kite ka uko na key tusanif hizo bangi tuive
mdihe alinichuja kufika mtiecha me hupata mndila amefunga
mndila alifunga kufika mesti nimeiva mdihe akanichuja
uko na gun na hauna badge…aje?
tuko club liquor imerun
tuko stranded
wapi mshande? yout wamange
end month na haijakam
watu washandwe

caro alipurura akakula karo
na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo ma club
madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano
sai wanaturushia mfupa

caro alipurura akakula karo
na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo ma club
madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano
sai wanaturushia mfupa

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...