lirik lagu sugua gaga – shaâ
sugua gaga by shaa
(verse1)
wewe nyambonde mimi nyasumi
matatizo yetu hayafanani
wewe nyambonde mimi nyasubi
matatizo yetu hayafanani
kama una shida unamwambia nani
watu wanacheza mambo hadharani
kama una shida unamwambia nani
hata me za kw-ngu nimeacha nyumbani
()
hatufanani
hatulingani
jiachie full mwanawani
mshike mwenzio mkono kiunoni
wote jiachie full mwanawani
mshike mwenzio mkono kiunoni
tufanane
usihofu hasara hasara
hakuna kulala kulala
usihofu hasara hasara
hakuna kulala kulala
usihofu hasara hasara
hakuna kulala kulala
kama shida tumezaliwa nazo
njaa isiwe kikwazo
tukazeni mjini mipango
njoo tuzisahau shida
kama shida tumezaliwa nazo
njaa isiwe kikwazo
tukazeni mjini mipango
njoo tuzisahau shida
kama kucheza tunacheza wote
njoo tuzisahau shida
kama kuimba tunaimba wote
njoo tuzisahau shida
kama kucheza tunacheza wote
njoo tuzisahau shida
hata kuimba tunaimba wote
njoo tuzisahau shida
(verse2)
sina gari na nyumba ila wema nnao
sina gari na nyumba ila wema nnao
unataka kushindana na mimi
huwezi
maisha yangu uswahilini
siishi mbezi
unataka kushindana na mimi
huwezi
maisha yangu uswahilini
siishi mbezi
(bridge)
hii ni serikali ya kiswazi bibi tunakaba jiko tunakaba choo
hakuliki wala hakuendeki
wao wana dollar mmh si tuna visenti
inakuhusu usije ukangoka meno sababu ya uchu
kwanini usipende
kwanini usiende
kwanini usicheze
kwanini usipende
kwanini usiende
kwanini usicheze
wengine chakara chakara
mashetani yamepanda
ameshika usinga kanasa kwenye kibanda
wengine chakara chakara
mashetani yamepanda
ameshika usinga kanasa kwenye kibanda
kibanda kibandaa
()
kama shida tumezaliwa nazo
njaa isiwe kikwazo
tukazeni mjini mipango
njoo tuzisahau shida
kama shida tumezaliwa nazo
njaa isiwe kikwazo
tukazeni mjini mipango
njoo tuzisahau shida
kama kucheza tunacheza wote
njoo tuzisahau shida
kama kuimba tunaimba wote
njoo tuzisahau shida
kama kucheza tunacheza wote
njoo tuzisahau shida
hata kuimba tunaimba wote
njoo tuzisahau shida
sugua gaga sugua gaga
sugua gaga sugua gaga
sugua gaga sugua gaga
sugua gaga sugua gaga
sugua gaga
usihofu hasara hasara
hakuna kulala kulala
usihofu hasara hasara
hakuna kulala kulala
usihofu hasara hasara
hakuna kulala kulala
heri kuwa na pengo kuliko jino bovu
alama ya mguuni sio kovu
ni hayo tu
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu trevond › lirik lagu half and half – trevond
- kumpulan lirik lagu lando maguszka › lirik lagu only intuition matters – lando maguszka
- kumpulan lirik lagu dashiell mcnzi yin kalle › lirik lagu verwählen – dashiell, mcnzi & yin kalle
- kumpulan lirik lagu kristina › lirik lagu letím v duši – kristína
- kumpulan lirik lagu ju4n › lirik lagu see through – ju4n
- kumpulan lirik lagu mark kozelek kevin corrigan › lirik lagu the gift of giving – mark kozelek & kevin corrigan
- kumpulan lirik lagu mac tyer › lirik lagu palette – mac tyer
- kumpulan lirik lagu agdn › lirik lagu fam – agdn
- kumpulan lirik lagu オカメp okamep › lirik lagu cry cry cry – オカメp (okamep)
- kumpulan lirik lagu pupi ivan ceron › lirik lagu dinosaurios – pupi / iván cerón