lirik lagu kerewa – shetta
[intro: diamond platnumz & ]
burn records
oh oh, oh oh
wasafi
clever touch
kaila
[verse 1: shetta, diamond platnumz, ]
kwanza umejazika
kama mlima ki
hapo mpaka mabitozi wanaji
figure matata na kweli umekwenda
je napok*miss napu*call tunabonga
(h*llo) h*llo
we ndio mamitto (mitto)
amini mi ndio papito (pito)
okay
ah, we ndio mamitto
achana nao ya dunia yote mapito (mmmh)
okay (yes)
ah, we ni bonge la demu (demu)
hata machizi wamesema bonge la shemu (shemulake)
amini we ni bonge la demu
tupendane tupeane yaani kila sehemu
[pre*chorus: shetta & diamond platnumz]
(and that’s wassup)
we ndio mama kaila (kaila)
of coursе mi ndio baba kaila (kaila)
(yo, baba kaila)
amini we ndio mama kaila
achana nao wanaokufata wote ni mataila
ha
[chorus: diamond platnumz & shetta]
oh
we ni w*ngu tuu
tеna waambie
watuache tulale
we ni w*ngu tuu
usije niacha
nikachekwa na wale
ona naimba
kerewa, kerewa (hayaya)
kerewa, kerewa (hayaya)
kerewa, kerewa (hayaya)
ah, kerewa
ayayaya (ooh ooh ooh…)
kerewa, kerewa (hayaya)
(ah ah, katika)
kerewa, kerewa (hayaya)
(katika)
kerewa, kerewa (hayaya)
(okay)
ah, kerewa (ha)
ayayaya (ooh ooh ooh…)
[verse 2: shetta, diamond platnumz, ]
yo, umenipa nafasi sitaki nikose (yes)
sitaki mwendo kasi, sitaki nipote (mhmm)
changanya kila kitu mpaka nikole (uhn)
mi ni wako kila siku , ay
jua kweli nakupenda mama
siwezi kukuigiza drama (mhmm)
vicheche nawakatalia sana
na nafurahia pia unabania wana (mhmm)
w*ngaw*nga wanasema unifai kabisa (oh oh)
wanatamani nikuache kwa visa (oh oh)
wengine wanataka nikuuze ka hisa (hey)
ila mchizinimegoma sikuachi kabisa (ah ah)
[pre*chorus: shetta & diamond platnumz]
(ah, yeah)
we ndio mama kaila (kaila)
of course mi ndio baba kaila (kaila)
(yo, baba kaila)
amini we ndio mama kaila
achana nao wanaokufata wote ni mataila
ha
[chorus: diamond platnumz & shetta]
oh
we ni w*ngu tuu
tena waambie
watuache tulale
we ni w*ngu tuu
usije niacha
nikachekwa na wale
ona naimba
kerewa, kerewa (hayaya)
kerewa, kerewa (hayaya)
kerewa, kerewa (hayaya)
ah, kerewa
ayayaya (ooh ooh ooh…)
kerewa, kerewa (hayaya)
(ah ah, katika)
kerewa, kerewa (hayaya)
(katika)
kerewa, kerewa (hayaya)
(okay)
ah, kerewa (ha)
ayayaya (ooh ooh ooh…)
[bridge: diamond platnumz]
ah
sa usiniumize basi (hayaya)
ukanipa wasi wasi (hayaya)
ah, kaugonjwa ka nafsi (hayaya)
moyo ukanienda kasi (hayaya)
sa usiniumize basi (hayaya)
ukanipa wasi wasi (hayaya)
ah, kaugonjwa ka nafsi (hayaya)
moyo ukanienda kasi (hayaya)
ah, si unajua
wenye chuki na hiyana
wametukania sana
sana usiku na mchana
wakiomba kuachana
so usiniumize basi (hayaya)
ukanipa wasi wasi (hayaya)
na kaugonjwa ka nafsi (hayaya)
moyo ukanienda kasi (hayaya)
ooh ooh ooh
[outro: shetta]
(hayaya)
yo, baba kaila
ha ha (hayaya)
yo, chief q mbe
i don’t forget, i got my boy dangote (hayaya)
kijumu stage
wassup (hayaya)
angalia mbele
(burn records)
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu o a r › lirik lagu city on down (live) (from live from merriweather) – o.a.r
- kumpulan lirik lagu antonio jose › lirik lagu hoy no estás sola – antonio josé
- kumpulan lirik lagu jackson heights › lirik lagu king progress – jackson heights
- kumpulan lirik lagu margareth menezes › lirik lagu mosca na sopa – margareth menezes
- kumpulan lirik lagu quasi › lirik lagu which side are you on, colonel? – quasi
- kumpulan lirik lagu marcio dentro › lirik lagu non sei – marcio dentro
- kumpulan lirik lagu xxxtentacion › lirik lagu kill my vibe (demo 2) – xxxtentacion
- kumpulan lirik lagu ninewaters › lirik lagu true to myself – ninewaters
- kumpulan lirik lagu nelccia › lirik lagu fantasy – nelccia
- kumpulan lirik lagu veronica castro › lirik lagu juntos por amor – verónica castro