lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu no silence (speed boy) – slimsal

Loading...

hook:
no silence we just speeding hey ..

( ahaaaaaah)..
we making noize..

hatukai kimya.. tunapiga kelele..

ahuuuum my speed hey.. ( hoop)

my speed hey my.. my speed hey..

ahuuum my speed hey..

verse:

leta hizo chupa za red wine/

twista na buster na technine/

nataka kimwana the best one/

mpaka ile mida ya x time/

njoo utanikuta nimepozi na vimwana kwenye
kona huwa sipendi kwenye seat no!/

usifikiri niko solo niko na mwanangu roby na mwanangu leo wote ni ma speed boy/

speed kwenye beat mpaka kwenye tungi pombe kama chai mi na e.m.o.e.n.a.i tumegida gidigidi/

n-gga nimeshajipiga kitu ch dodoma tena dry
nipo high nipo weedy weedy weedy/

wananiita mr. twistergram, wantatka picha za instagram/

brothakaka wanajifanya kama vile hawanipendi kwasababu wanadata masister zao/

so check brotherkaka anavyotupwa kama takataka, verse zinafanya mpaka rapper wanatapatapa/

mpaka zinafanya wanabaki wanagaragara achana na mafala wanafatafata barabara/

hatua zangu mbili ni kimara mpaka salasala chapa kila rapa kama sina akili sawasawa /

jinsi nnavyokupa nako kama vile warawara

dupy kwenye beats anawashoot like ”tata tataah”

hook:

no silence we just speeding hey ..

( ahaaaaaah)..
we making noize..

hatukai kimya.. tunapiga kelele..

ahuuuum my speed hey.. ( hoop)

my speed hey my.. my speed hey..

ahuuum my speed hey..

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...