
mama - slimsuma lyrics
verse
kwanza nakupenda, hili naweka wazi, nimekuweka kwenye moyo, umeijaza nafasi, i know that you love me hilo sina wasi, nakosea unasamehe then you play nice
sijui nikupe nini kufidia mama, maana sioni cha kukupa, vyote havina maana, toka utoto umenilea nimesumbua sana, angekuwa mwingine ile kitambo angeshanipa laana
kila siku namshukuru mungu aliye juu, j*po nipo mbali ila mama i miss you, toka mtoto hadi sasa still i need you, uishi milele mama ndio kitu i wish to
nak*mbuka tabu zote ulizopata mama, sio tabu ndogo nak*mbuka uliteseka sana, ulinipa moyo pale nilipojiona sina maana, hadi kazi mbaya ili nile mama yangu ulifanya
bridge
wewe super woman mama ni wewe. ×4
chorus
malaika nakupenda malaika, mama ni malaika nakupenda malaika. ×2
malaika nakupenda malaika. ×7
Random Song Lyrics :
- p.45 - gorillaz lyrics
- 5 elements - m-1 lyrics
- adiós - elefante lyrics
- elefant män - organismen lyrics
- m.d.f. - mort dans le film - mac tyer lyrics
- my kind of love (redone and alex p remix) - emeli sandé lyrics
- born crazy - migz lyrics
- drop! - angry pale kid lyrics
- top off - iceboyslim lyrics
- make the world go away - jamey johnson lyrics