lirik lagu naughty flow – sora odg
(intro)
we love you sora
(hook)
everytime umesema niswitch nimekuja na pressure for real
unadig hiyo flow imeiva ka noti
step kwa track nak!ll
watu watatu still hamnitoshi nakuja na bars ni ill
kwa track umejaza vikosi ka we ni fala sign hiyo deal

(verse 1 * sora odg)
membership kwa gym umebeba mafuta usiseme ni thick
kwa mdomo unanuka aluta aye ukibonga unafanya nicl!ck
unaflow akiimba yoruba con huyo fala anapenda mad*ck
life unataka ya huddah umebeba ufala ka jerry wa rick
no shame kwa streets mnauza vinyo wengine ni kazi kul!ck
ukimcheki utadhani ni pukka send hizo floods kwa vile i’m sick
nawashow na mimi sijudge nimepassiwa mic na mi nikaspeak
ka jodye sidhani hao ma g hunilike still forever the clique
(hook)
everytime umesema niswitch nimekuja na pressure for real
unadig hiyo flow imeiva ka noti
step kwa track nak!ll
watu watatu still hamnitoshi nakuja na bars ni ill
kwa track umejaza vikosi ka we ni fala sign hiyo deal
everytime umesema niswitch nimekuja na pressure for real
unadig hiyo flow imeiva ka noti
step kwa track nak!ll
watu watatu still hamnitoshi nakuja na bars ni ill
kwa track umejaza vikosi ka we ni fala sign hiyo deal
(verse 2 * ynw pikachu)
marapper nimemada ni wengi kwa track
ig si unajua niko mboka kama si deal ya madoh double tap
aling’ora akadoz agha khan wakichora saba mi huchora maplans
sora kwa hook mi peter pan kuhata ni tricky niko ramadhan
kaa ni mix unataka enda cheki za qwan uh
kuja na pen nikuje na rubber
huu morio asumbuanga sana akamie thao juu yeye ni capper
haina ngori sikuw*nga wa kwanza mambo ya title we wachia shamba
siezi dishi huo mpoa hapana tukipatana joh tutabishana
aje unabeef na umeinama
mi hupiga tizi na mziki mohammed ali videvu mi hurusha ni bars
antaka nini na mimi juu kama ni best ameshika atatoka huku worse
hii ndo sin city but mi niko huku kusaka mapesa we bora tu deal iko fiti
mpoa amebeba mahaga zi hutokeanga kando akiketi kwa kiti
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu r a the rugged man › lirik lagu r.a. be down (awww baby now) – r.a. the rugged man
- kumpulan lirik lagu indіgo › lirik lagu rapçi olma – indіgo
- kumpulan lirik lagu stephen the levite › lirik lagu fuzz duckaz – stephen the levite
- kumpulan lirik lagu vii › lirik lagu cette voix dans ma tête – vii
- kumpulan lirik lagu scepaz › lirik lagu okay – scepaz
- kumpulan lirik lagu sanna ja lapset › lirik lagu pieni murhapolttaja – sanna ja lapset
- kumpulan lirik lagu dee dee sharp › lirik lagu i really love you – dee dee sharp
- kumpulan lirik lagu el lucifero › lirik lagu último deseo – el lucífero
- kumpulan lirik lagu archetypes collide › lirik lagu well wasted – archetypes collide
- kumpulan lirik lagu ray barretto › lirik lagu la pelota – ray barretto