lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu hapa – timmy tdat

Loading...

[chorus: timmy tdat & ssaru]
so nishike wapi baby (hapa)
so nishike wapi baby (hapa)
nishike wapi baby (hapa)
hapa na hapa
nitakupa wapi baby (hapa)
nitakupa wapi baby (hapa)
nitakupa wapi baby (hapa)
hapa na hapa

[verse 1: timmy tdat]
girl you are, me read your beauty
can i get some of the quality to this cutie
ananipa kiti eti mi ndo mwenyekiti
chairman mi ndio nakaa fiti
macho zako fiti manze you ni good looking
nitalipa depo manze kama kuna booking
vile umeiva manze no more cooking
nishakupata so no more looking
uko na la pili si ka s*xual healing
missionary baby, girl face ceiling
change position hebu jaribu kneeling
umejaza poa hii ndo nice experiece
[chorus: timmy tdat & ssar]
so nishike wapi baby (hapa)
so nishike wapi baby (hapa)
nishike wapi baby (hapa)
hapa na hapa
nitakupa wapi baby (hapa)
nitakupa wapi baby (hapa)
nitakupa wapi baby (hapa)
hapa na hapa

[verse 2: ssaru]
eyo timmy bomb, bomb k!ller come give me
do the dirty whine me nah fine gyal see me
dance to the floor nimekuja na kamini
crop*top ndio form ndio usorore kipini, aah
do do dubai twende shopping ya gucci
ku ku kuwai ilibidi nifanye bookings
mi staki chai baby mi nataka sushi
na tufike nai tuwafunze isukuti
nitakupa amani sio vita, ju mi huwa sina visa
nataka tu tuchill tu kwa keja na mambichwa
ukishikwa na munchies, hapo kuna kapizza
ukidorora dorora nakupatia ka teaser
tunapull up ku voom vooom kimaster
picha zako mi nazoom zoom na data
kama ni watoto mi nitakupa tupacha
alafu baby hio chum chum nataka
[chorus: timmy tdat & ssaru]
so nishike wapi baby (hapa)
so nishike wapi baby (hapa)
nishike wapi baby (hapa)
hapa na hapa
nitakupa wapi baby (hapa)
nitakupa wapi baby (hapa)
nitakupa wapi baby (hapa)
hapa na hapa

[verse 3: timmy tdat]
so k*mbe we mtaveta jo ndio maana we mtight
k*mbe we mtaveta jo ndio maana we mtaita
so k*mbe we mtaveta jo ndio maana we mtight
k*mbe we mtaveta jo ndio maana we mtaita
kabaridi kanatamba mi ndio murder
na wanapanic wanaogopa kushandwa
mdogo mdogo tu nakuja kuwapanga
bumper to bumper w*ngu hasongi further
nakupeleka tz pale kwa border namanga
narudi kasabuni yaani nakata na panga
nak*murder so napanga matanga
nakuchoke manze prrr
mi ni mtaita na yangu jo ni tighter
ninaleta nare mpaka umetupa lighter
sijawai jua unakuw*nga jo mtaita
unaleta nare hata nimetupa lighter
[chorus: timmy tdat & ssaru]
so nishike wapi baby (hapa)
so nishike wapi baby (hapa)
nishike wapi baby (hapa)
hapa na hapa
nitakupa wapi baby (hapa)
nitakupa wapi baby (hapa)
nitakupa wapi baby (hapa)
hapa na hapa

[post*chorus: timmy tdat]
so k*mbe we mtaveta jo ndio maana we mtight
k*mbe we mtaveta jo ndio maana we mtaita
so k*mbe we mtaveta jo ndio maana we mtight
k*mbe we mtaveta jo ndio maana we mtaita
mi ni mtaita na yangu pia ni tighter
tight tighter
mi ni mtaita na yangu pia ni tighter
tight tighter

[outro]
(it’s hammado on the beat)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...