lirik lagu macondition – timmy tdat
nikikupata hey, niko sorted
wacha wale wanaodai niwalipe wote
huyo sio w*ngu huyo ni wa voke
uliza majirani niliwatoka wote
hey hey, my baby girl wacha drama
na kwa hii nyumba mimi nitahama ey
hehee naomba tu unipe mwaka
kabla haijaisha nikupe hummer
maisha ina maganji sana
keja yangu bado ina maganji sana
maisha ina maganji sana
keja yangu bado
naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yeah
naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yeah
she want a in a dollar man
chop on the money plan, isha shida yaani
awe anavaa kupendeza sio shati na blazer
fine girl, and she make me do me kinda believe
na ni kapeng ting, so vitu kanadai
siwezi kataa, siwezi mind
nishakasomea mbali
you wanna mess with my heart no no
nishakasomea mbali
you wanna mess with my heart no no
naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yеah
naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yeah
umekuwa bad girl kitambo ulikuwa good
ambiwa vitu nyingi unajifanya tu kabubu
unaendaga kwa machali unajifanya uko skulu
alafu unanisomеa ni kama bado uko skulu
hey girl o utanipa kamdudu
machali wakikuita unasema kam to do
girl, ugali na kasupu
wanakudishi w*n*lamba nyakakulu
unanicheza mi
mbona beiby girl unanitesa mi?
we mlittle girl so unanitesa mi
mbona beiby girl unani?
naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yeah
naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yeah
niko secured hata ka g4s
nimekungoja form 34s
uko na yule donga sai i guess
ukiulizwa ha, ni ma excuses
tena argument niko right
ona bado unataka tu kuleft
beiby girl hahahaha
argument am right
unataka tu kuleft
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu plimmo › lirik lagu fendi turbo remix – plimmo
- kumpulan lirik lagu flamingos in the tree › lirik lagu let you go – flamingos in the tree
- kumpulan lirik lagu allio › lirik lagu wrath – allio
- kumpulan lirik lagu tj chill › lirik lagu the calling – tj chill
- kumpulan lirik lagu lil pec › lirik lagu the doors – lil pec
- kumpulan lirik lagu keyblade › lirik lagu mickey mouse vs bugs bunny – keyblade
- kumpulan lirik lagu w4veform › lirik lagu 90’s! – w4veform
- kumpulan lirik lagu sin ye young 신예영 › lirik lagu 잘할게 (be good to you) – sin ye young (신예영)
- kumpulan lirik lagu кристина кошелева kristina kosheleva › lirik lagu тише (hush) – кристина кошелева (kristina kosheleva)
- kumpulan lirik lagu marnocap › lirik lagu koma – marnocap