lirik lagu yamepita – toffee montana
on the track on the track
it′s walter
aaaaaah
yamepita yamepita
yamekwisha yamekwisha
yamekwisha yeh yeh
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
niko tayari kuanza mwanzo upya
niwe kiumbe kipya nizaliwe tena
iiiii yeh yeh yeh
yamepita
chuki na ubinafsi
yamepita
wivu na uporaji wa mali
yamepita
chuki na ubinafsi
yamepita
ukabila na vita
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
mabadiliko haya yamenifaa mie
baraka zako baba zimetawala
uinuliwe uinuliwe
uinuliwe uinuliwe
baba muumba uinuliwe
baba muumba uinuliwe
sifa zikurudie ewe baba
muumba wa ardhi na mbingu aaaaaah
iiiii yeh yeh yeh
yamepita
chuki na ubinafsi
yamepita
wivu na uporaji wa mali
yamepita
chuki na ubinafsi
yamepita
ukabila na vita
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
iiii yeh yeh yeh
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu jah vinci › lirik lagu winning (extended version) – jah vinci
- kumpulan lirik lagu frayer flexking › lirik lagu stokárske r/n/b – frayer flexking
- kumpulan lirik lagu sophie meiers › lirik lagu as good as it gets (whose rules remix) – sophie meiers
- kumpulan lirik lagu grant macdonald › lirik lagu ram ranch 36 – grant macdonald
- kumpulan lirik lagu brian connolly › lirik lagu little willy – brian connolly
- kumpulan lirik lagu poulaxe › lirik lagu shippuden #3 – poulaxe
- kumpulan lirik lagu ekcelent › lirik lagu “nový deň” – ekcelent
- kumpulan lirik lagu mr rizzus › lirik lagu stranger things – mr rizzus
- kumpulan lirik lagu kargo › lirik lagu tırtılın hikayesi – kargo
- kumpulan lirik lagu thamnos › lirik lagu chpt. iv: cerberus’ shrine entrance – thamnos