lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu haujapatikana – tuphy

Loading...

tuphy ~”hauj*patikana”
asali ya mapenzi umevuruga,umemwagia dona
kidonda nilochonacho juu ya penzi lako hakij*pona

nimejaribu nikupigie,simu yako hupatikani
nimejaribu nikuimbie wenda utanisikia hewani…

(semichorus)
tungedumu mpaka leo
uwe mke mi mmeo
penzi umelishusha vyeo
natapatapa ila

(chorus)
hauj*patikana
oh owh owh
hauj*patikanaaaa
uye ye ye
uye ye
hauj*patika ah
oh owh owh
uye ye ye
uye ye

verse2:
sema bebi nilichokutenda unanipa noma iyoo..
kipi zaidi nilichokutenda ukaniumiza roho..
nyota hainga’ai beibe we ndo tabibu
(tabi tabi tabi)
chupa linapoza chai beibe
oh majaribu
(ye ye)

semichorus)
tungedumu mpaka leo
uwe mke mi mmeo
penzi umelishusha vyeo
natapatapa ila

(chorus)
hauj*patikana
oh owh owh
hauj*patikanaaaa
uye ye ye
uye ye
hauj*patika ah
oh owh owh
uye ye ye
uye ye

(bridge)
tungedumu mpaka leo
uwe mke mi mmeo
penzi umelishusha vyeo
natapata tapa ila

chorus
hauj*patikana
hauj*patikaana
hauj*patikana
hauj*patikaana

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...